Wednesday, September 4, 2013

WASHINDI WA PANCH KWA MTAA..... "PAPAADOLA & CHEDU2R"


PapaaDolaa & Chedu2R na ngoma "Michano" ikiwa ni Nafasi waliojishindia katika Msimu wa kwanza katika shindano la  PUNCH KWA MTAA, inayoendeshwa na DJ Mwaka ndani ya MJ FM Radio,hawa ni wawili kati ya washindi wanane jumla katika Round ya kwanza zawadi kuu ikiwa ni Kurekodi nyimbo katika Studio ya Noizmekah. Pata kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Papaa Dolaa kupitia 
+255 753 470 004 

Zaidi check na hii link www.vmgafrica.com
---------


No comments:

Post a Comment