Saturday, September 7, 2013

TID ATANGAZA HALI YA HATARI KWA B-12 KAMA ASIPOMUOMBA MSAMAHA.

TID a.k.a Mnyama kawahacha mafans wake midomo wazi na maswali mengi bila kuwa na majibu ;;;;... hii ni baada ya kupost status ya kumtaka Presenter wa Clouds Fm B-12 kumuomba msamaha kwa kile anachodai kumdhalilisha kipindi wapo kigoma kwenye tamasha la Fiesta 
Nanukuu post ya Tid kwenye ukurasa wake wa Facebook kama TOPBAND "Nataka b-twelve uniombe msamaha kwa kunidhalilisha kigoma before I do anything I just dont care anymore." cha kushangaza zaidi ya fans na followers 80 wamecomment kutaka kujua nn tatizo na ni kitu gani B-12 alikifanya kumdhalilisha Tid na wengine wakimponda kwa kutowaelezea kiundani tatizo ilo......

No comments:

Post a Comment