Wednesday, September 4, 2013

JC-RECORDS YATOA SHAVU LA KUREKODI BUREEEEEEEEE KWA ARTIST WA HIP HOP UNDER 22 !!!Hii ni kwa mtu yoyote anayejitambua kua ana kipaji cha ku-flow lyrics (Kughani mashairi) za HIP-HOP,  na mwenye michano ya kipekee, pia kitu cha ziada ni kuweza kuandika mashairi yenye uhalisia na kuteka hisia katika utamaduni wa HIP-HOP. 

JC-RECORDS inatoa chance ya wazi kwa kijana ambaye ana umri chini ya miaka 22, kupata nafasi ya kurekodi bureeeee. Pia atapewa nafasi ya kuchagua beats zilizo tayari hapa studio ama kutengenezewa beats mpya kutokana na ubunifu na hisia zake kulingana na nyimbo anayotaka kurekodi.

Nafasi hii ya pekee itaambatana na mkataba mnono kwa yule atakae kuwa kafanikiwa kwa kuweza kusainiwa kuwa msanii wa HIP-HOP wa lebo ya JC-RECORDS.

 “Tunaisikiliza ndoto yako, tunaipa msukumo ndoto yako, tunaifanikisha ndoto yako”-JC-RECORDS 

Kwa Mawasiliano zaidi Piga namba: 0712 266865/ 0713 266865/ 0789 333646 
No comments:

Post a Comment