Sunday, September 1, 2013

HII NI THE FIRST AND THE BEST SUPER SOUND CLASH IN TANZANIA.

 Hii ni ya kwanza kutokea hapa Tz, it was the best super Sound Clash ever seen, ambayo ilifanyika jana pale Velisa's Jamaican Restaurant iliyopo maeneo ya kawe jirani na Picolo Beach!! it was a battle kati ya Dj na Dj...... Watu wa aina tofauti walitokea na ku-enjoy party na Dance toka kwa Ma-Dj wenye fleva zilizoenda school.......... JAH PEOPLE SOUND SYSTEM (JPS) Ndio waliokuwa waandaaji wa Event na it was so succesful....!!!!!
  
 ONE Of the Best DJ waliochanganya watu kwa spin za hatari na kufanya stage kufulika huku kelele kama ishara ya kumkubali.............................!!! it was fantastic moment ever!!!

 Unagonga ngoma mpk your Fellow Dj anabaki mdomo wazi.................................!!!!!!!!!!! hyo ilikua Crazy mixing Babuu.....

 Kitu kilichonifurahisha tofauti na MaDj wengine ni jamaa alikua anaSpin at the same tyme ana-Dance step 2 step, that was amazing !!!!!

 DJ Junior Zion alikua ni moja ya Ma-Selector waliokuwepo kwenye Battle.... hapo aki-Dance na kubadilishana mawazo na Mrs wake!!!
 It was a Event of different Race.... na kila mmoja ali-Enjoy Party kitofauti.... Dancing Floor ilikua full all over the tyme!!
 Nikiwa na My Partner na Organiser wa Super Sound Clash pia ni Founder wa Jah People Sound System (JPS) all the way from U.k , goes by the name of Jah Pete!!

 Kama motto ya JPS inavyosema "For Love, Peace and Unity" ..... So tulikua tunashow some Love hapo!!!

 Upande wa Beach pia ulihusika sana , hapa nikiwa na washikaji na tunashow Love kwa Camera na drinks za hapa na pale!!

 Me and my Lovely Wifey...... Peace n' love , that is what i mean!!!!

 Mitoko kama hii, mke wangu anahusika sana.... Thanx 4 Loving me , na pia kuniSupport 2 make my Dream come True....... So let's make it 4 our Lovely Son King Palmer......


 My OB of all tyme Mr. Robert Latonga  akishow some Love na My Lovely Wyf na mdau baada ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale.


 Kila aliyetokelezea jana ali-Enjoy kiasi kwamba hata washua walikua dancing floor kuonyesha mbwembwe zao!!! old school na New School battle..........

 Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!!! ukimkubali lazima useme!! Bravoooo Dj......

 "Kwa Spin ulizomix hapa embu fanya kupiga pic nami" kama nanukuu hivi japo sio rasmi....... Roby na Tune Table Master.................


 Roby and Friend from Arab......

 She always there to support Me n' my struggle.... hapo akishow some love na my Partner Jah Pete....
.
 He was the Best Dj kwa event ya jana ,all the way from U.K.... Duuuh crazy Dj ever met in my Life..... anachezea na kusugua LP utadhani anaosha vyombo................... Maaaaaaaaaaaaaaaan!! sijawahi ona.....

 OOOOOOOooooooooooooooooooh!!! Selector Jr. na babe mama wake kwenye Dancing Floor!! guess whaaaaaaaaaaaaaaat?????

DJ mtamboni mbona nyomi ilirudi kwa floor .... aliwapagawisha watu kiasi kwamba floor iliwaka moto ikabidi tuweke smoke kidogo ili ku-cool temp ya crowd iliyokuwa kwenye Dancing floor!!!!

 Fly highhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh... so highhhhhhhhhhhhhh , so fresh so clean cleannnnnn!!!!


Ilikua the Best wkEnd toka huu mwaka umeanza maana i was Born to make it Happen , so hustle zinaendelea na Sir God anabariki harakati...... JPS ipo tayari kukupa burudani zaidi ya hizi... ukisikia JPS ipo sehemu usikose kuja ..... Njoo tu-Enjoy Qulity Sound na Ma-Dj wazuri kutoka all over the World!!! NI Good Music 4 Good People!!!!!!!!!!!!!!!!

                        "FOR LOVE, PEACE AND UNITY"

No comments:

Post a Comment