Sunday, September 22, 2013

HAPPINESS WATIMANYWA NDIYE MISS REDDS TANZANIA 2013Mrembo Happiness Watimanywa (19) ambaye pia ni Miss Dodoma 2013, Miss Kanda ya Kati 2013 na Redds Miss Photogenic 2013 ndiye kashinda na kuvishwa taji la urembo la Redds Miss Tanzania 2013. 


Huku akiondoka na zawadi ya gari aina ya Toyota IST , na kitita cha fedha taslimu za kitanzania shilingi Milioni 8. Huku tukitegemea kwenda kutuwakilisha katika mashindano ya dunia yanayotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu !!!

Tunampongeza Happiness Watimanywa, na Hongera watu wangu wa Dodoma !

1 comment:

  1. huyu hatuwakilishi mwaka huu bali atawakilisha Tanzania mwakani. muwakilishi wetu mwaka huu ni briggette tayari yupo indonesia

    ReplyDelete