Friday, August 16, 2013

TEAM PAMOJAH NITE IKIWA KWENYE PRESS CONFERENCE KIWANJA CHA HOME!!!!!! @NEW MSASANI CLUB...!!!!

Yaani leo ndio leo pale New Msasani club kunawaka motoooooooo balaaaaaaa>>>>>>>>........ Hapa Jah Pete frm U.K , pale L-JahGun Selector frm Finland na kule Man Juniors kutoka Dsm Tanzaniaaaaa!!!! Itakua balaaaaa aiseeeeeee!!! so fanya kujisogeza uje upate vibes hatariiiiiiiiiiii.......!!!!!

Hapa ni Team nzima ya Pamojah Nite..... kushoto wakiwa waandaaji na kulia wakiwa maDj.... wakijiandaa kuongea na ndg wanahabari kuhusu dhumuni la Tamasha na pia nini wamewaandalia wapenzi wa Reggae na wakazi wa Dsm!!!!!


Hapa ni Mratibu wa tamasha Arnie Gizzle akiwaeleza wanahabari na kujibu mawali matatu kutoka kwa wahandishi wa Habari waliokuwepo siku hyo!!!!!!!!

Hapa ni Robert Latonga au Bob/Roby ambaye ni Mratibu msaidizi wa Tamasha akifurahia kitu na Mkurugenzi wa New Msasani Club bw. Edward Wambura au Eddo........!!

Kama mratibu nikisisitiza kitu kwa wahandishi kuwa Leo kitaeleweka na kitanuka balaaaaaa!!!!!!

Wa kwanza kulia ni Mrs. Arnie G nae alikuwepo kusupport harakati za Hubby wake kwa namna moja au nyingine!!!!!!!

POPOTE PALE ULIPO KONA YA JIJI LA DAR...... EMBU TOKELEZEAAAA UONE UTOFAUTI WA REGGAE HII NA ZILE ZA NYUMA!!!!! WICKED VIBES ZA KIDUNIA!!!! DON'T MISS AISEEEEE!!!!!

No comments:

Post a Comment