Thursday, August 8, 2013

LIFE ADVENTURE......... (GIZZLE IN ROCK CITY)........ !!

 The Nite B4 journey with my Boy Man juu........ hapo tunajaribu kushindana nani Mrefu ha ha ha ha....... ilibidi nisimamie vidole maana sikutaka kushindwa coz the Guy is Very tall ndio maana anaitwa Man Juu.... Now yupo Singida!!!

 Ready 4 da trip/Tour to ROCK CITY.......

 Barabarani kidogo navuta Upepo!!! Then nawaunga mkono wanangu wa Shy-Town pale daraja..... tunaondoa vumbi then safari inaendelea.....

 Mapumziko ni moja ya safari pia!!!! Shy-Town...... Darajan..... Cha Ajabu maji hayo hayo wanaoshea Magari wakati huo wanaoga hapo hapo na wanyama pia wanyweshewa hapo hapo....!! Duuuuh Tembea uone!!!!!

 Mapokez yalikua poa ,,,... Tukamshukuru aliye juu kuwa tumefika salama... Amina!! 
Kawa kawiz Asbh kwenye Mchemsho wa samaki..... daaaaaah Mwanza kutamu aiseeee!!!!!
 
 Adventure nyingine ni kuchukua Boti na cruising on Lake Victoria kutazama mali asili zetu na mishe nyingine.....!! I lov Mwz!!!

 Kwa wale wapenda Bata!!! ukiwa Rock City lazima ufike kwenye hiki kiwanja! pa ukweli sana...... sema kwa wageni lazima ublow ur Mind...... "Rock City" so clean so freshhhhhhhhh

 Haya chezea Fredy Geeeeee wee!!!! ....... Weka mbali na watoto hiyo kituuuuuuu........ 


 Safari moja uanzisha nyingine!!! ..... sikua peke yngu bali young Broz nao awakua nyuma kunionyesha jiji la Mwanza lilivyo pana!!! tooooah!!!

 JIWE LA MSINGI muhimu sana ha ha ha ha ha...............!!! kazi kweli kweli......!!!

 Made in Tanzania - Rock City - Mwanza (Lake Victoria) with a beautiful scenery !!!!!!

 My OB..... way back.... mulaaaaa Denis, mzee wa "genda obushee" pale Mwz, tukishow sm Lov na kukumbushana mawili matatu.......

 Mwanza International Airport ready 2 fly...... with my Hommie Junth.......... say Bye 2 Mwz......!!!
 Flight yangu ilikua poa sn kwan nilipata svs ya nguvu baada ya kukutana na wadau..... Raha ya kufanya kazi na Aviation bhana!!!!..... hapo chini nipo na FA Linety na FP LyimotukiShow some Lov........

 @JK Nyerere International Airport!!! My Hommie King Roby was there 2 pick me Home......

WAS A VERY NICE TOUR NA PIA IT WAS SO PRODUCTIVE!!!! THANX GOD 4 LOVE!!!!!

No comments:

Post a Comment