Thursday, August 8, 2013

BACK AGAIN ON DUTY!!..... BAADA YA LIKIZO TYME WITH MY NEW KING PALMER.....

Wadau mambo zenu vipi???? kwanza  samahani sana kwa fans wa blog hii kwa kupotea muda mrefuuuuu..... najua mmemiss ving lkn ndio hvyo tena mnajua Uzazi.......
Pili napokea Hongera zenu kwa sana kwa kupata Baby Boy (King Palmer) ambae kachangia kwa namna moja ya me kuwa busy sn!!! now anatimiza miezi saba net on 16th Aug......  ofcoz nilitaka nimuweke sawa kwanza ......Mpk hapa Namshukuru sana Mungu King anaendelea poa sn.... na pia nazidi kumuombea mema daima ....
Mungu Mbariki Palmer, Mungu Ibariki Tanzania na Wadau wa  Blog hii!!

NOW LETS GET BACK THE SHOW ON DA ROAD!!!!!!!!!!!! 

.............GIZZLE UPGRADE 'EM!!!!!...........

No comments:

Post a Comment