Saturday, August 31, 2013

PROF. JAY, ZEMBWELA (East Africa Radio) NA ADAM MCHOVU (Clouds Fm) WAPATA TUZO ZA HESHIMA ZA JAMII.

 Nilipata nafasi ya kukabidhi Tuzo kwa mmoja ya washindi wa Tuzo za Jamii, Tukio ilo la makabidhiano lilifanyika ktk Ukumbi wa Melmoz ulipo kawe jirani na viwanja vya Golf Lugalo. Pia iliudhuliwa na watu mbali mbali wakiwemo wanasiasa , wanamichezo ,wasanii na watu wa kada tofauti tofauti.

Prof. Jay alikua miangoni mwa watu waliopata Tuzo hizo za Heshima kutoka kwa jamii kutokana na mchango wake ktk jamii, na wengine walikua ni pamoja na mtangazaji wa East Africa Radio kupitia kipindi cha Super Mix Zembwela na Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu.

 Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ccm (UVCCM) wilaya ya kinondoni nilipata nafasi ya kukabidhi Tuzo kwa mwakilishi wa Adam Mchomvu wa Clouds Fm.
 
 Kama mfanyakazi na mwakilishi wa Adam Mchomvu, alipata nafasi ya kuelezea furaha yake kuhusiana na kupata Tuzo ya Heshima kutoka kwa jamii...

 Hapa tukapata kupiga picha ya pamoja ku-show some love na respect kwa waandaaji wa Tuzo hizo!!

 Ni moja ya wafanyakazi wa East Africa Radio na pia ndio alikuwa mwakilisha wa Zembwela, ambaye akufika kutokana na majukumu mengine ya kikazi . Hapa akionyesha furaha yake baada ya kukabidhiwa Tuzo.

 Hapa ni Prof. Jay, The heavy weight Mc, Mr. Red Carpet au Jay wa Mitulinga akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari kuelezea Furaha yke na heshima aliyopata kutoka kwa jamii baada ya kukabidhiwa Tuzo yke!!!

 Baada ya Mahojiano alifanya kupata picha ya Pamoja na Robert Latonga , mwandishi wa Habari na mwanaharakati kutoka Mlimani Tv ya chuo kikuu cha Dsm (Udsm). Huku akionyesha Tuzo hyo aliyochongwa kwa malighafi ya mti wenye thamni sana Duniani , na ambao hupatikana kwa wingi Tanzania. Mti aina ya Mpingo.

 Furaha kubwa ni pale Prof. Jay alipokutana na DJ JD (John Dilinga) The EverLasting Dj na kushow some Love with  the Respect kwani ni mmoja kati ya wadau walioufikisha muziki wa Bongo Fleva hapa ulipo. Pia inasemekana jina la Prof. alimetungwa na Dj JD mwenyewe !!!!

Kutoka kushoto ni Salum, Prof. Jay, Allan Lucky (East Africa Tv) ,Alphanga Black na jamaa wakishow some love na Furaha yao kwa kumpongeza Prof. Jay baada ya kukabidhiwa Tuzo ya Heshima kutoka kwa jamii kama Msanii Mwenye mchango mkubwa kwa Jamii.

 Hapa Dj JD alipata fursa ya kuongea na wanahabari kuelezea machache kuhusu Muziki wetu ulipotoka ,ulipo na unapoelekea. Pia akiwasihi wadau kutoa Support kwa waandaaji wa Tuzo hizi.!

 Tulipata kupiga picha ya pamoja na waandaji wa Tuzo na waliotunikiwa kama kumbukumbu kwa tukio muhimu .
 Ni moja kati ya wageni waalikwa katika Tukio la ugawaji wa Tuzo za Jamii... Kushoto ni Bw. Masanga ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ccm (UVCCM) wilaya ya Kinondoni akiwa kwenye picha ya Pamoja na Dr. Nassoro Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Madaktari wa Michezo Tanzania.

 Nikapata pia Nafasi ya Kupiga picha ya pamoja na Dj JD, Dr. Nassoro na Alphanga Black ambaye ndio mwanzilishi wa Tuzo hizo za jamii, hii ni  muda mfupi baada ya kubadilishana mawazo ya namna gani tunaweza kuziboresha!!!!

 Anafaamika kama Alphonce lakini wengi tunamjua kwa jina la Alphanga Black... huyu ndie Founder wa Tuzo za jamii na pia ni mmoja kati ya waandaaji wa Tuzo hizo..... hapa akihojiana na wanahabari kuelezea mafanikio na changamoto anazokutana nazo ktk mchakato mzima wa uandaaji wa Tuzo hizo!!!

Kutoka Kushoto ni Bw. Salum ambaye pia ni mmoja ya waandaji wa Tuzo za Jamii, DJ JD, Arnie Gizzle na Dr. Nassoro .

Kwa mtazamo wa wengi hizi ni moja kati ya Tuzo ambazo zinatazamiwa kuwa Tuzo kubwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati kama zitapata Support ya kutosha kutoka kwa wadua na jamii kwa ujumla bila kusahau support ya Serikali hasa wizara husika na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

Nipende kutoa pongezi kubwa kwa waandaji wote wa Tuzo na pia kwa wageni wote mliofika bila kujali changamoto za foleni za Dar.... na pia natoa wito kwa Makampuni makubwa kumsuport Alphonce na waandaaji wa Tuzo hizi.

Friday, August 16, 2013

TEAM PAMOJAH NITE IKIWA KWENYE PRESS CONFERENCE KIWANJA CHA HOME!!!!!! @NEW MSASANI CLUB...!!!!

Yaani leo ndio leo pale New Msasani club kunawaka motoooooooo balaaaaaaa>>>>>>>>........ Hapa Jah Pete frm U.K , pale L-JahGun Selector frm Finland na kule Man Juniors kutoka Dsm Tanzaniaaaaa!!!! Itakua balaaaaa aiseeeeeee!!! so fanya kujisogeza uje upate vibes hatariiiiiiiiiiii.......!!!!!

Hapa ni Team nzima ya Pamojah Nite..... kushoto wakiwa waandaaji na kulia wakiwa maDj.... wakijiandaa kuongea na ndg wanahabari kuhusu dhumuni la Tamasha na pia nini wamewaandalia wapenzi wa Reggae na wakazi wa Dsm!!!!!


Hapa ni Mratibu wa tamasha Arnie Gizzle akiwaeleza wanahabari na kujibu mawali matatu kutoka kwa wahandishi wa Habari waliokuwepo siku hyo!!!!!!!!

Hapa ni Robert Latonga au Bob/Roby ambaye ni Mratibu msaidizi wa Tamasha akifurahia kitu na Mkurugenzi wa New Msasani Club bw. Edward Wambura au Eddo........!!

Kama mratibu nikisisitiza kitu kwa wahandishi kuwa Leo kitaeleweka na kitanuka balaaaaaa!!!!!!

Wa kwanza kulia ni Mrs. Arnie G nae alikuwepo kusupport harakati za Hubby wake kwa namna moja au nyingine!!!!!!!

POPOTE PALE ULIPO KONA YA JIJI LA DAR...... EMBU TOKELEZEAAAA UONE UTOFAUTI WA REGGAE HII NA ZILE ZA NYUMA!!!!! WICKED VIBES ZA KIDUNIA!!!! DON'T MISS AISEEEEE!!!!!

Wednesday, August 14, 2013

PAMOJAH NITE IMEBAKI ONLY SIKU MOJAAAAAAAAAAAAAAAA TUUUUU!!!!!!!!!


The wicked vibes iliyokua inasubiliwa kwa hamu kubwa sana na wadau na wapenzi wengi wa Reggae hapa nchini... sasa tunahesabu masaa 48 TUUU tupige show ambayo ijawahi tokea hapa Tz!! International Djz kutoka kona za Dunia.....!!!! all the way from U.k na Finland gonna bring some sh@@#....

Heeey dn't miss it ..... kuanzia saa 3 usiku mpk cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! 

Friday, August 9, 2013

BAADA YA Ft. NA FID Q KWENYE NGOMA YA SIHITAJI MARAFIKI, MZAMBIA YVONNE MWALE AJA NA NGOMA MPYA YA "ACHA UMBEA"
Sio muda sana toka Msanii wa Afro-Jazz  Yvonne Mwale ame-launch album yke ya 'Kalamatila' in Dar es Salaam na kuteka umati mkubwa wa fans alionao hapa Tanzania. Kama mzaliwa wa Zambia na msanii ambaye amepiga tour zaidi ya Nchi 8 Europe mwaka 2010 na baada ya hapo akaamua ku-settle Tanzania kuendeleza kazi zake za music. Matokeo ya Albam yake ya pili ya 'Kalamatila' ndio yalimpatia nafasi ya kujulikana kama solo artist, na hii ni kupitia single na video yake ambayo ilipata Airtime ya kutosha kwa vituo mbalimbali vya Tv hapa Africa Mashariki..... Ngoma iliyokwenda kwa jina la 'Familia Yangu'.

Umaarufu wake umekua zaid baada ya ku-release collaboration na Mkali wa Hip Hop Tanzania Bw. Farid Kubanda Known as Fid Q, kwenye mkwaju mkali sana uliokubalika na kuwa Super-Hit all over East Africa.......... Ngoma iliyokwenda kwa jina la 'Sihitaji Marafiki' .... Ambayo kwa muda mchache tu ikawa inaongoza kwenye Charts mbalimbali za radio na TV kwa week kadhaa. Mwishowe, the same song was nominated kwenye category mbili tofauti za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.

Kama Asante kwa Fans wake wote wa East Africa na Ma-supporter wakubwa... Basi Yvonne kaamua kushusha ngoma mpyaaaaa ambayo imeandikwa kiswahili kama zawadi kwenu bureeee kabisa. The Song goes by the name of 'Acha Umbea' kama vipi fanya kubofya hapa ili kuisikiliza na pia kuipata: http://www.reverbnation.com/yvonnemwale/song/18188029-acha-umbea

Right now Yvonne karudi  Europe ambapo ataanza Tour fupi huku akijiandaa ku-Record Albamu yake ya TATU in one of the Major music studios in Germany.


Yvonne Mwale on Facebook: http://www.facebook.com/YvonneMwaleMusic
Yvonne Mwale on YouTube: http://www.youtube.com/yvonnemwale

NGOMA MPYA YA BOUNAKO NA FIDOVATO - "MI NAJUA"

Majembe ya Kaskazini Bounako & FidoVato wanarudi tena na Hardcore hiphop Joint kwa jina "Mi Najua" ikiwa ni mkono wa Defxtro toka Noizmekah studios, remix ya pini hili litakuja mwezi ujao wakiwemo Mcs wengine JCB na Moplus, kwa sasa Majembe wanajipanga na Video Kadhaa za ngoma zao hivyo mashabiki wakae mkao wa kuburudika na kuelimika,Pata kuusikiliza wimbo huu na kudownload HAPA
-------------------------
http://www.hulkshare.com/dl/88e6aey8trpc/Bounako%20&%20fidovato-mi%20najua%20(noiz)?d=1

T-SHIRTS MPYA ZA VATOLOCO ZIPO KITAANI SASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 Fido Vato toka VL Red Nation anawapa fans wa Hip Hop Mzigo mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Hii ni Vatoloco T-Shirts "Style za Kichuga" 
So wana wote kama unaFeel huu mzigo gongeshea kwa Order kupitia Namba:
 +255 783 825 519.......


Kwa Info zaidi fanya ku-click HAPA
BouNako & FidoVato-Mi Najua
http://www.hulkshare.com/dl/88e6aey8trpc/Bounako%20&%20fidovato-mi%20najua%20(noiz)?d=1
FidoVato ft Dipper-Style za Kichuga
http://www.hulkshare.com/dl/9l2tvyx8l534/Fidovato%20ft%20dipper-style%20za%20kichuga%20(noiz)?d=1

Thursday, August 8, 2013

THE BEST REGGAE EVENT IN TANZANIA........ THE PAMOJAH NITE REGGAE...... HII SI YA KUKOSA AISEE......!!!!!!!.

One of the Best Reggae Event in Town ........Pamojah Nite as get together Reggae event, intended to showcase the Best Reggae DJs, Quality sounds and interactive atmosphere. ......  Yaani ni Mixing za kutosha kutoka kwa International Djz around the World!!!! 

Kutakua na L-JahGun Selector (BongoDub Sounds) All the way from Finland, pia kutakua na one of the best Reggae Djz from U.K JAH PETE (Jah People soundSystem) na pia kutakuwa na kinara wa hapa Bongo Selector MAN JUNIOR (Zion Sounds)........

Also kutakua na mambo mengiiiiii ya kutosha ... Sheesha, Culture items n.k...... And the Best sound system ambayo ipo Qulity.... "".. So Tell a Friend 2 Tell a Friend ...""

NI NDANI YA NEW MSASANI CLUB .... ON 16th AUG.... kuanzia saa 3 usiku mpk cheeeee!!!!
Don't Miss...... Much mooo 2 come!!!!

LIFE ADVENTURE......... (GIZZLE IN ROCK CITY)........ !!

 The Nite B4 journey with my Boy Man juu........ hapo tunajaribu kushindana nani Mrefu ha ha ha ha....... ilibidi nisimamie vidole maana sikutaka kushindwa coz the Guy is Very tall ndio maana anaitwa Man Juu.... Now yupo Singida!!!

 Ready 4 da trip/Tour to ROCK CITY.......

 Barabarani kidogo navuta Upepo!!! Then nawaunga mkono wanangu wa Shy-Town pale daraja..... tunaondoa vumbi then safari inaendelea.....

 Mapumziko ni moja ya safari pia!!!! Shy-Town...... Darajan..... Cha Ajabu maji hayo hayo wanaoshea Magari wakati huo wanaoga hapo hapo na wanyama pia wanyweshewa hapo hapo....!! Duuuuh Tembea uone!!!!!

 Mapokez yalikua poa ,,,... Tukamshukuru aliye juu kuwa tumefika salama... Amina!! 
Kawa kawiz Asbh kwenye Mchemsho wa samaki..... daaaaaah Mwanza kutamu aiseeee!!!!!
 
 Adventure nyingine ni kuchukua Boti na cruising on Lake Victoria kutazama mali asili zetu na mishe nyingine.....!! I lov Mwz!!!

 Kwa wale wapenda Bata!!! ukiwa Rock City lazima ufike kwenye hiki kiwanja! pa ukweli sana...... sema kwa wageni lazima ublow ur Mind...... "Rock City" so clean so freshhhhhhhhh

 Haya chezea Fredy Geeeeee wee!!!! ....... Weka mbali na watoto hiyo kituuuuuuu........ 


 Safari moja uanzisha nyingine!!! ..... sikua peke yngu bali young Broz nao awakua nyuma kunionyesha jiji la Mwanza lilivyo pana!!! tooooah!!!

 JIWE LA MSINGI muhimu sana ha ha ha ha ha...............!!! kazi kweli kweli......!!!

 Made in Tanzania - Rock City - Mwanza (Lake Victoria) with a beautiful scenery !!!!!!

 My OB..... way back.... mulaaaaa Denis, mzee wa "genda obushee" pale Mwz, tukishow sm Lov na kukumbushana mawili matatu.......

 Mwanza International Airport ready 2 fly...... with my Hommie Junth.......... say Bye 2 Mwz......!!!
 Flight yangu ilikua poa sn kwan nilipata svs ya nguvu baada ya kukutana na wadau..... Raha ya kufanya kazi na Aviation bhana!!!!..... hapo chini nipo na FA Linety na FP LyimotukiShow some Lov........

 @JK Nyerere International Airport!!! My Hommie King Roby was there 2 pick me Home......

WAS A VERY NICE TOUR NA PIA IT WAS SO PRODUCTIVE!!!! THANX GOD 4 LOVE!!!!!