Wednesday, March 13, 2013

SUMA MNAZALETI KUDONDOSHA TUKO WANGAPI BAADA YA KUVUJA MTAANI


Baada ya kugundua Ngoma yake ya TUKO WANGAPI kuvuja kitaa, Suma ameamua kuitoa kama Official Track. kama nukuu kwenye ukurasa wake wa fb
 "Baada ya kugundua imevuja na imeanza kusambaa mtaani! nmeona niitoe haraka kama official track! so wimbo wangu wa TUKO WANGAPI ft Tunda utaingia online muda wowote kuanzia sasa!"
 so kama mdau na fans wa Mnazaleti kaa tayari kuilamba ngoma yake mpya aliyomshirikisha Tunda Man wa Tip tOP Connection.

Kaa humo baada ya Suma kufunguka kuhusu kufunga Account zake zote za Fb na kuamua kufungua Fans PAge yake..... Fanya yako kuLike page yake kwa info zaidi..... alitiririka hivi kwa ukurasa wake
" Habari ya pili ndugu zangu ni kwamba baada ya kuwa na account nyingi za wa2 zikitumia jina langu facebook! NIMEAMUA baada ya kupost link ya wimbo wangu wa tuko wangapi ntafunga account zangu zote mbili nakutumia FANS PAGE 2! so kwale wa2 wangu tutawasiliana kule la msingi ku like page"No comments:

Post a Comment