Wednesday, March 13, 2013

KINA KIREFU IN ROCK CITY...The Underground King of all tyme, Mansu-li a.k.a Sinza all Stars kwa sasa yupo jijini Mwanza, The Rock City Special for his Albam..... so kama wewe ni fans wa Hip HOp na pia utakua unasupport muziki huu na upo Mwanza au mikoa ya jirani, basi Albamu ya KINA KIREFU inakuhusu sana... so fanya yako kwa kupiga No. 0784 351 667, Kaushaaa na usilete stori nyingine tofauti na uhitaji wa albamu. 


SUMA MNAZALETI KUDONDOSHA TUKO WANGAPI BAADA YA KUVUJA MTAANI


Baada ya kugundua Ngoma yake ya TUKO WANGAPI kuvuja kitaa, Suma ameamua kuitoa kama Official Track. kama nukuu kwenye ukurasa wake wa fb
 "Baada ya kugundua imevuja na imeanza kusambaa mtaani! nmeona niitoe haraka kama official track! so wimbo wangu wa TUKO WANGAPI ft Tunda utaingia online muda wowote kuanzia sasa!"
 so kama mdau na fans wa Mnazaleti kaa tayari kuilamba ngoma yake mpya aliyomshirikisha Tunda Man wa Tip tOP Connection.

Kaa humo baada ya Suma kufunguka kuhusu kufunga Account zake zote za Fb na kuamua kufungua Fans PAge yake..... Fanya yako kuLike page yake kwa info zaidi..... alitiririka hivi kwa ukurasa wake
" Habari ya pili ndugu zangu ni kwamba baada ya kuwa na account nyingi za wa2 zikitumia jina langu facebook! NIMEAMUA baada ya kupost link ya wimbo wangu wa tuko wangapi ntafunga account zangu zote mbili nakutumia FANS PAGE 2! so kwale wa2 wangu tutawasiliana kule la msingi ku like page"MISS IFM 2013

GET PREPARED FOR MISS IFM 2013....COMIN SOON....TALK OF THE CITY...BY BETTER DAYZ ENTERTAINMENT CO. LTD

BEAT DOWN "PARTY ANTHEMS " KILA IJUMAA @ SYNERGY LOUNGE PALE OYSTERBAY.

 
KILA IJUMAA NI SIKU YA SHANGWE , WADAU WOTE WALA BATA MNAKARIBISHWA USIKU WA BEAT DOWN .
KUTANA NA MANDHARI NZURI KWENYE LOUNGE YA KISASA NA WAJANJA WA TOWN TUJICHANGANYE HUKU( DJ BIKE WA RADIO 1 )AKISABABISHA NA NGOMA ZA UKWELI.
KIINGILIO NI ELFU KUMI (10,000 /=) TU.

TUNAANZA ILE MIDA YETU YA SA 3 MPAKA ASUBUHI.

TUKO MTAA WA ZAMBIA NA MKWAWA . KATA KUSHOTO BAADA YA KCB BANK, NENDA HADI ZAMBIA AMBAYO NI KONA YA PILI KUSHOTO ALAFU KATA KULIA MTAA WA MKWAWA NA UTATUONA NYUMBA YA 5 KULIA. BASI HIYO NDIO MASKANI YA WAJANJA WA TOWN.

KARIBUNI.