Saturday, November 2, 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI YA MWISHO YA "UNCLE J" PALE VIWANJA VYA LEADERS

 Hapa ndipo mwili wa Marehemu ulipokuwa umeifadhiwa tayari kwa kupewa heshima ya mwisho na kuagwa pale viwanja vya leaders na kusafirishwa kwenda nyumbani kwao musoma kwa ajili ya maziko ...........

 Umati kubwa ulijitokeza kujumuika kwa pamoja ili kutoa heshima ya mwisho na kumuaga nguli wa tasnia ya Habari nchini Julias Nyaisanga "Uncle J" ....... Ukiongozwa na Makamu wa Rais Dr. Bilal, huku wakiwepo wanasiasa, wanahabari na watu mashuhuri nchini kama mwenyekiti wa chadema, Freeman Mbowe na Mkurugenzi mtendaji wa IPP, Dr. Regnald Mengi...............


 Hapa Dr. Regnald Mengi akiwapa pole wafiwa mara baada ya kuwasili viwanja vya leaders.........


 Baada ya msafara toka white house kufika viwanja vya leaders, Dr Bilal alipokelewa tayari kwa kuongoza maelfu ya watu waliokuja kumuaga Uncle J...........!!!!


 Familia, ndugu, jamaa na marafiki walifika kutoa heshima ya mwisho , huku wanahabari hawakua nyuma kuchukua kila tukio lililojili.......

 Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe baada ya kutoa heshima ya mwisho kwa marehemu Uncle J... alipita pia kuwapa pole wafiwa (Mjane ,watoto na ndg wa karibu wa Uncle J.)........................

 R.I.P Uncle J...... nitakukumbuka kwa mengi sana........ Mungu akupumzishe mahali pema peponi Amina!!! 
Julias Nyaisanga ameacha mjane na watoto watatu.........


 Ni Msiba ulionikutanisha na watangazaji/wanahabari wenzangu karibia wote naowajua na kuwasikia ambao hata sijawahi pata nafasi ya kukutana nao........ Legendary wangu..... napenda kumuita Larry King wa bongo mzee Alfred Masako tukijadiliana kitu na kuchukua ushauri wa hapa na pale...... 

...................."Kutoka eneo la tukio ni mimi Robert Latonga wa Mlimani Tv Elimu Kwanza".................. Ndio maneno niliyosikia hapo kipindi nachukua hii picha... so nimenukuu.....!!!!!

Saturday, October 12, 2013

USIKU WA T.I.D MNYAMA NDANI YA DENFRANCE HOTEL - SINZA ULIVYOFANA!!!!!

 We call it Hotel yenye hadhi ya kimataifa na mandhari mazuri, parking ya kutosha na ulinzi wa hali ya juuuu,..... Ni DenFrance Hotel Iliyopo sinza whiteInn Barabara ya kuelekea Tandale , vituo vitatu kutokea sinza kijiweni........ hapo ndipo ilipo Club Basement ambapo matukio ya kiburudani chini ya King's Entertainment ufanyika hasa siku ya Alhamisi kila wiki kama ilivyokuwa usiku wa T.I.D mnyamaaaaa Alhamisi hii ............
 King's Team wakitafakari kitu kabla ya show kuanza.... Team King's kushoto ni Joachim a.k.a Kim na the King Himself A.G!!......................... Alipo King , the Queen must be around so Babe Mama on 1 & 2.........
 Known as Ram K , chini ya Chief kiumbe akifanya yake siku hyo kabla ya Myanmaaaa kupanda kwa stage ... na ni moja ya wasanii wakali sana sema bado hawajafanya yao kiaina ... so kila Alhamisi tutakuwa nae kwenye show....waliosikiliza na kuona alichofanya wanajua nn namanisha!!!!


 Mishale ya saa 7 hivi ndio moto ukawaka baada ya T.I.D Mnyama kupanda kwa stage na Dancers wake kwa hit song yake ya Kiuno...... when time goes on sio dancers wala T.I.D bali Club ikaripuka na kila mtu akafanya yake kwa utamu wa show ya Mnyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Upepo ukabadilika na ikawa Tyme ya Old Skuls... way back hit songs kama Zeze, Niamini, Girl Friend n.k!!! so shangwe la hapo balaaaa... Old is Gold!!!!

 Tid Top Band dancers.......... salute u guys!!!!

 Brand New group ya BongoFleva goes by the name of FADE EYEZ ambao pia walikuja kushow lov na ku-perform ngoma zao kama mbili tatu...... So pia ilifika time ya kushow lov wakiwa na Manager wao!!!!
 Nilikua One of the MC kwenye show,  So kabla sijawatambulisha Fade Eyez kwa stage tukaFanya kuweka kumbukumbu kwa uso wa dunia!!!! nawakubali hawa madogo!!!


 Ilifika Tyme ambayo kila aliyekua ndani ya club alisogezwa karibu na mnyama , wakupga picha wakafanya yao , wakucheza wakafanya yao na hata wa kuimba vivyo vivyo,,.... huku watoto warembo wakikata mauno..... wind winddddd


Mh. Sugu ni moja ya wadau wakuu waliotokelezea kwa show yaTid na baada ya show wakawa wanabadilishana mawazo ya hapa na pale..... kimuziki na hata maisha ya upande wa pili (mjengoni).....
Mwisho wa siku vidole juu ishara ya upendo na amani... we salute you Sugu moto chini!!!
King's Entertainment Family wakishow Lov baada ya show kumalizika poaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 One of the upcoming Best Dj in Town...... Dj K3 No Dought on 1 & 2.. DAAAAAAH mbonge moja La Dj ninayemkubali sn.... alifanya yake siku hiyoooooo....... !!!!

TUKIFURAHIA KITU NA MH. SUGU.
King's Entertainment wakishow Lov na Manager wa DenFrance Hotel Bw. Mwakisamba!!! Thanx Manager kwa svs nzuri sn!!
Mnyamaaaaaa akishow lov na Family ya King's Entertainment baada ya Show!!!!!
SHOW TYMEEEEEEEE!!!!!!! PEACE!
 Kings wakiwa na Sugu ...... wakijadiliana mawili matatu na pia kupiga picha ya pamoja !!!! Thnx so much Mh. Sugu mb. wa mbeya mjini kwa ushauri na mawazo uliyotupatia ili kwendeleza harakati ya Burudani.. we real salute you..... Green City standUp 4 Suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!


 King and Queen...... Mr n' Mrs Joachim Juma Hakimu (KIM) we call them Bw. na Bi. Harusi watarajiwa this Dec,,...... Vikao vinaendelea poa na kama Family moja ya King's Entertainment we wish u all the Best !!!


Thnx so much picture kwa wadau na wapenzi wa Burudani Da' slaaam!!! As King's Entertainment tunawashukuru kwa wale mliokuja kutoa support na wengine wote walikosa tyme ya kuja kutokana na sababu ambazo zilikua chini ya iwezo wenu...... Burudani ni moja ya maisha hvyo kila Alhamisi tutakua pale DenFrance Hotel - sinza kwa show kali na muziki mtamu......

Stay tune 4 next week Alhamisi ni UZINDUZI WA NGOMA MPYA YA SAM WA UKWELI....... DON'T MISS IT!!!!!!!!!!!!!!!