Tuesday, March 27, 2012

HIP HOP DANCERS WAPO HIVI.

Ukiizungumzia Hip Hop in General utakutana na mambo mengi hasa zikiwamo nguzo zake nne ambazo ni DISC JOCKEYS {DJ'S}, GRAFFIT {ART}, MC'S {RAPPERS}, na B-BOYS & B-GIRLS {BREAKER DANCERS}.
Leo nabana sana kwa hii element ya 4 ambayo ni Breaker Dancer , kwa kifupi Historia ya Hip Hop Dancers ilianzia nchini Marekani miaka ya 70's ambapo vijana wengi walizoea ku-shake barabarani kwa kutumia midundo ya ngoma , na ilizidi kushika chat miaka ya 80's huku wakiimalisha uchezaji wao kwa kubuni style na mbinu mpya kila wakati.....

Kila kulipokucha ndio Dancing ikazidi kwenda next level kwa kubuni mitindo mipya na hasa kufanya mazoezi ya Breaking, Popping, Locking , Krumping na hata House dance, kitu kilichopelekea fani hii kushamili na kusambaa Dunia nzima ambapo kwa sasa ime - improve kwa kutumia vionjo vya JAZZ, ROCK, TAP na pia kwa kutumia hasa utamaduni wa kimarekani na kilatino katika kucheza.

Kwetu Tz na hata majirani zetu kanda za Afrika mashariki na kati bado utamaduni huu tunaubeza na kuuchukulia kawaida huku kukiwa na rundo la vijana wenye vipaji wakifa njaa na kupoteza mwelekeo wa maisha. Sanaa hii inapotea kwa kutopata kipaumbele ukilinganisha na michezo mingine ya kuburudisha . Na hata mashabiki wake ni wachache sana ukilinganisha na nchi nyingine zinazoendelea. TANZANIA HERE WE COME!!!!
By AGE'S Ent. stay tune......!!!!!

Monday, March 26, 2012

ALL OVER TANZANIA ... HII NI YAKO KAMA UNA KIPAJI .

Inanihusu mimi ,wewe na yule kama una kipaji cha ukweli na ubunifu wa kucheza/dancing.
AGE'S ENT. Wanakuletea issue ambayo itafanya ndoto yako kuwa kweli siku moja. njoo ufanye kipaji chako king'ale Tanzania na nje ya mipaka ya tanzania Kwa kushiriki kutafuta crew bomba ya Dance hapa Tanzania.

Kwa mawasiliano zaidi piga/msg +255 765 477409
EMAIL : arniegizzle@yahoo.com

ZANZIBAR ARE U READY 4 MUUNGANO DAY?????


Kikitoka Kitu, Kinaandaliwa Kitu na Kikimalizika Kitu Unaletewa Kingine Kitu. Hiki ni KINGINE na KIGENI, Jamaa Wameamini kuwa ZANZIBAR kuna "WASHIKAJI" na "MASHOSTITO" Wenye "SWAGGZ" za Ukweli na MPANGO ulioko Jikoni ni "SELEBRATE MUUNGANO DAY" kwa Kuwashuhudia HAO Washkaji na Mashostito WENYE SWAGGS: OMG::::::: Na WEWE ni Mmoja MWENYE SWAGGS?? Usijali WATAKUFIKIA HAPO ULIPO