Rappa Ghettodiva a.k.a. GHeTtODiDiz anafungua mwaka kwa kusema "Need A Boy",Ngoma inayozungumzia jinsi gani manzi hardcore anataka mchizi wake,yaani boyfriend awe,Ghettodiva akiwa ni msanii rappa wa kike mwenye maskani yake pande za Arachuga,asema

"Nafaham title ya track ina kautata flan but its exactly what me n ma producer thought would fit best ayo mashairi apo ndani so much love to ma producer pande za noizmekah.com,my family including "Junior" and all ma fanz,katika game y'all are ma family and bila ninyi hakuna mimi,otherwise mbali na hii single niloachia,natarajia kutembelea nchi jirani ya Kenya kufanya kazi na wasanii wa kule katika kukuza career yangu!