Saturday, January 7, 2012

2012 INAANZA NA UZINDUZI WA MACHWEO.

Ni mwaka ambao kila Mtanzania anautegemea kuwa mwaka wa Neema... Naona umeanza poa sana so pale Maisha Club patakuwa hapatoshi na bonge la Movie ya Machweo ukiambatana na show kali ya wasanii mbalimbali....

SI YA KUKOSA HII....... HAPPY NEW YEAR 2012 WADAU!!!!!!!!!!!!!!!!!1

No comments:

Post a Comment