Monday, November 7, 2011

SALAMA JABIR..... IS BACK AGAIN... VERY SOON.

MTANGAZAJI MAARUFU SALAMA JABIR ANARUDI KIVINGINE NA KIPINDI KIPYA
KABISA KINACHOITWA ‘MKASI’ KITAKACHOKUWA KIKIRUSHWA HEWANI KILA SIKU
YA JUMATATU KUANZIA SAA 3:30 USIKU.

KIPINDI HICHI KITAANZA KUONEKANA HEWANI KUPITIA EAST AFRICA TV KUANZIA
TAREHE 14 MWEZI NOVEMBA 2011.

KIPINDI HICHO KITAKUWA KIKIFANYIKIA SALOON NA KUHOJI WATU MBALI MBALI
WENYE VIPAJI LUKUKI KUHUSIANA NA MAISHA YAO BINAFSI NA HII NI KWA MARA
YA KWANZA KUFANYIKA KATIKA HISTORIA YA VIPINDI VYA AFRIKA YA MASHARIKI

KUTOKANA NA MTIRIRIKO MZIMA WA KIPINDI ULIVYO NA MANDHARI YAKE.
USIKOSE KUTAZAMA LUNINGA YAKO ILI KUPATA KILICHO BORA KUTOKA KWA SALAMA JABIR.

NI ‘MKASI’ UTAKAOTIKISA TANZANIA NA AFRIKA YA MASHARIKI KWA UJUMLA.
KUMBUKA NI KILA JUMAATATU SAA TATU NA NUSU USIKU

..................... SO STAY TUNE ON EATV........

No comments:

Post a Comment