Wednesday, November 9, 2011

R.I.P THE HEAVYWEIGHT EMCEE OF ALL TYME.... HEAVY D.(1967-2011)


Jina linalosimama ni Dwight Arrington Myers (May 24, 1967 – November 8, 2011) a.k.a Heavy D, mzaliwa wa Jamaican ambaye alikuwa American actor, rapper, record producer, singer na kiongozi wa zamani wa kundi la Hip Hop lililojulikana kama Heavy D & the Boyz, ambapo alikuwa pamoja na G-Whiz (Glen Parrish), "Trouble" T. Roy (Troy Dixon), and Eddie F ambalo lilitamba sana miaka ya 1990s.


Heavy D ali-perform katika BET Hip Hop Awards ya mwaka 2011 iliyofanyika October 2011 na ndio ilikuwa live performance ya kwanza kwa miaka 15 iliyopita. It was his first live performance in 15 years. Heavy D Kafariki November 8, 2011 in Los Angeles, California, akiwa na umri wa44. Chanzo kinasema alianguka akiwa nyumbani kwake Beverly Hills na kukimbizwa hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center. na baadae kuripotiwa amefariki Dunia. MUNGU MULAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

No comments:

Post a Comment