Thursday, November 24, 2011

REVOLUTION DAY !!! NOV 26 ANTI - VIRUS...... USIKOSE!!

Kama wewe ni mdau wa Muziki huu lazima ulishakutana na hii kitu ya Nov 26 pale kati viwanja vya ustawi wa jamii pale kati Bamaga K/nyama kwa kiingilio cha buku 5 tuuu....... Burudani kwa mashabiki.... so njoo wewe na jirani yako na mtaa mzima kukinukisha pale kati... Mgeni Rasmi ni Waziri wa Habari, michezo na Utamaduni Mh. Emmanuel Nchimbi na wabunge kama 50 hivi wa bunge la jamhuri kutoka vyama tofauti........ So unasubili nini??????????

Hii ni moja ya picha iliyochukuliwa pale Habari maelezo Vinega wakiongozwa na Mh. Sugu, Mkoloni, Soggy Doggy, Suma G wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Mlimani Tv, Robert Lyatonga!!!! ambapo kwa wiki nzima mfululizo Mlimani Tv wamekuwa wakitoa muendelezo wa Habari kwa kuzungumzia Hip Hop na Historia yake....... so fanya Kutazama Mlimani Tv, Dtv na kusikiliza Times Fm 100.5Mhz kwa Info na Up dates za show.... Time ya kufunguka RAIA wa Tanzania.........!!!!!!!!!! tukutane pale kati hiyo siku ku-support muziki wa Tanzania BURUDANI KWA MASHABIKI!!!

No comments:

Post a Comment