Monday, November 7, 2011

KUTOKA TRH 5 NOV SASA NI 26 NOV 2011..... VOL 11.......

Baada ya kuwekewa kauzibe sasa mambo ni trh 26 nov...... chini ni baadhi ya Status za Mh. Sugu kupitia Account yake ya Fb!!...
"TAARIFA:TUMEPELEKA MBELE CONCERT YA ANTIVIRUS TOKA TAR 5 NA SASA ITAFANYIKA TAR 26 NOV. KWENYE VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWI WA JAMII KIJITONYAMA (Confirmed already!!)...HII NI KUTOKANA NA 'WANGA' KUTUBANIA UWANJA WA POSTA AMBAKO NDO TULIPANGA KUFANYA CONCERT HII AWALI...NA ILIKUWA LAZIMA HII CONCERT IFANYIKE KWENYE VENUE YA NJE KWA KUWA TUNATUMIA BIG STAGE, BIG SOUND, WITH TOO MANY LIGHTS ON...!!!"


"...ANTI-VIRUS MIXTAPE VOL II IZ THE WORLD PREMIER...LAUCH CONCERT 0N 26 NOV. AT CHUO CHA USTAWI WA JAMII GROUNDS WHICH IZ LOCATED AT BAMAGA ALONGSIDE KIJITONYAMA POSTA GROUNDS...

AS WE SAID,WE MEAN BUSINESS THIZ TIME..BIG STAGE, BIG SOUND, TOO MANY LIGHTS FOR THE NITE!

THE STREET SOLJAHZ LINE UP:SUGU, MKOLONI, SOGGY DOGG, DANI MSIMAMO, SUMA G, RAMA DEE, MAPACHA, D WA GHETTO, G SOLO, COIN 1, ADILI HISABATI, MABAGGA FRESH, LWP, MANZESE CREW...NA SURPRISES KADHAA!!!

CONCERT HII NI YA KIZALENDO NA HAITAKUWA NA WASANII WA NJE KABISA!

HAYA YOTE YANATOKEA HUKU MBUNGE AKIENDELEA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE VIKAO PAMOJA NA ZIARA ZA KAMATI YA BUNGE HAPA DAR,NA MCHANGO WETU HAUFICHIKI KILA TUNAPOTEMBELEA SEKTA MBALI MBALI TUKIWA NA KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII...Holla at yo MP!!! "
Hapo ni baadhi ya vinega wakiwa na Dj choka........ down ni kuhusu line up za Djz watakaosababisha na LP siku hiyo.......
"TAARIFA: DJ'S LINE UP USIKU WA TAR 26 NOV. KWENYE CONCERT YA VINEGA VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWI WA JAMII-BAMAGA NI PAMOJA NA LEGENDARY DJ JD a.k.a JOHN DILLINGER MATLOU,DJ MAJIZO a.k.a MAJEY PAMOJA NA DJ BBG...MPE TAARIFA MCHIZI WAKO,PIA MWAMBIE NA DEMU WAKO NAYE AWAAMBIE MADEMU WENZAKE WAJIANDAE KUONA MI-SWAGGA YA UKWELI STEJINI USIKU HUO...Holla at yo MP!"

Kati ya Ma-dj niunaowapa respect hapa town ni everlasting Dj John D......... HA HAA HAA HAA MOTooooooooooo mbaya siku hiyo........

No comments:

Post a Comment