Thursday, November 24, 2011

BRAND NEW TRACK VATOLOCO THE RED, MOPLUS & JCB

Vatoloco the Red,Moplus & JCB wanakuja na ngoma mpya "hapa kazi",hiphop joint yenye msisitizo wa namna gani kazi na bidii huleta maendeleo katika jamii na maisha yetu binafsi.

Hapa kazi ni pini tulofanya kwa kushirikiana na m2 mzima JCB pamoja na Moplus.beat ya project ameunda mchizi Azard wa TGP ambaye yuko pande za india kimaisha,vocal session kama kawaida kwa DefXtro pande za noizmekah.com ,Pini lipo katika album project ye2 ya "UNGALIMI 2 QUEENS ambayo itakuwa mtaani kuanzia tarehe 1 december arusha nzima na mikoa mingine mabadae kidogo...


No comments:

Post a Comment