Thursday, November 24, 2011

VEEJAY NDANI YA JAMSESSION NOV 27 ....

Kupitia kampuni ya pande za Arachuga "Batoo Entertainment" Hutakiwi ku-miss this Sunday's JamSession @ Velocity Club Njiro Complex with msanii VEEJAY kwa stage & Jamdropa Dj'z kwa Decks...Its gonna be a thrillin session,Come one Come all...

Jamdropa Dj'z watadrop hot cargoz kwa dance floor na baadae VEEJAY atadrop kwa stage na ngoma zake kali kama "Sikufagilii" ikiwemo the brand new hit Single "Kimziki zaidi"...remember kiingilio ni buku tatu tuuuuuuu!!!!!! and kuna Free drink coupons @ the entrance & Lots more Prizes wazeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!

MWANADADA TigerEyes FROM ARUSHA TANZANIA.

Mwanadada TigerEyes toka Arachuga anawaasa madem wote wanaofanya game wakaze buti mana yuko tight zaidi maelezo yani no mboyoyo hapa,"hakuna kulaza damu wala kusoundisha raia,niko serious sana na mziki chalaangu" asema nemy a.k.a TigerEyes mwanadafada anaye rap,kuimba na kudance katika crew la "NewKings" toka Arusha...

"Noizmekah kwa dx ndo niliporekodia ngoma yangu hii ya "Grind on", beat ameunda producer Mosco ambae ameunda beat na vocal kasmamia bro dx mpaka ngoma kukamilika na kuwafikia wadau ma mashabiki zangu wote tanzania na dunia nzima,

Sasa nakarbia kumaliza masomo ya chuo so nitakua full full hewani mithili ya noizmekah.com..Heshima tele ziende kwa Mungu kuniweka hai na my Mama kwa kunisuport katika muzik plus maproducer wangu kwa kuni guide na kunishauri...
"

REVOLUTION DAY !!! NOV 26 ANTI - VIRUS...... USIKOSE!!

Kama wewe ni mdau wa Muziki huu lazima ulishakutana na hii kitu ya Nov 26 pale kati viwanja vya ustawi wa jamii pale kati Bamaga K/nyama kwa kiingilio cha buku 5 tuuu....... Burudani kwa mashabiki.... so njoo wewe na jirani yako na mtaa mzima kukinukisha pale kati... Mgeni Rasmi ni Waziri wa Habari, michezo na Utamaduni Mh. Emmanuel Nchimbi na wabunge kama 50 hivi wa bunge la jamhuri kutoka vyama tofauti........ So unasubili nini??????????

Hii ni moja ya picha iliyochukuliwa pale Habari maelezo Vinega wakiongozwa na Mh. Sugu, Mkoloni, Soggy Doggy, Suma G wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Mlimani Tv, Robert Lyatonga!!!! ambapo kwa wiki nzima mfululizo Mlimani Tv wamekuwa wakitoa muendelezo wa Habari kwa kuzungumzia Hip Hop na Historia yake....... so fanya Kutazama Mlimani Tv, Dtv na kusikiliza Times Fm 100.5Mhz kwa Info na Up dates za show.... Time ya kufunguka RAIA wa Tanzania.........!!!!!!!!!! tukutane pale kati hiyo siku ku-support muziki wa Tanzania BURUDANI KWA MASHABIKI!!!

HAPPY B'DAY FOR MY SPECIAL PEOPLE!!

Kutoka Yakuzza Mob....... LEO KAMA JOMBAA ANATIMIZA MIAKA FULANI HIVI SO HII SPECIAL KWA FANS WAKE ATAKUWA PANDE ZA KANKALA CLUB KUKATA KEKI NA BATA FULANI ZITAFATIA... SO SOGEA PANDE HIZO ZA KIGAMBONI KUTOA SUPPORT KWA MWANA.... HAPPY B'DAY JOMBAAAAAAAAAA

HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...... HUYU SI NDIO TWIN (FREDY G. NYAMBELWA) WANGU...BT USINIULIZE KWANIN MIMI NIMEZALIWA 15 MARCH THEN YEYE AKAZALIWA NOV 24.... BRO I LOVE U SO MUCH... ALL THE BEST DUDE..... AGE'S 4 LIFE!!!!!!!!!!

BRAND NEW TRACK VATOLOCO THE RED, MOPLUS & JCB

Vatoloco the Red,Moplus & JCB wanakuja na ngoma mpya "hapa kazi",hiphop joint yenye msisitizo wa namna gani kazi na bidii huleta maendeleo katika jamii na maisha yetu binafsi.

Hapa kazi ni pini tulofanya kwa kushirikiana na m2 mzima JCB pamoja na Moplus.beat ya project ameunda mchizi Azard wa TGP ambaye yuko pande za india kimaisha,vocal session kama kawaida kwa DefXtro pande za noizmekah.com ,Pini lipo katika album project ye2 ya "UNGALIMI 2 QUEENS ambayo itakuwa mtaani kuanzia tarehe 1 december arusha nzima na mikoa mingine mabadae kidogo...


Thursday, November 17, 2011

BRAND NEW TRACKS OF THE MONTH.

Chid Benz Feat. Chege Chigunda na Track inayokwenda kwa jina la KITU KIMOJA iliyofanywa na Dunga.............

Gnako toka nako2nako soldiers anadrop na "Round here"...hii ni club single tofauti na official mixtape ya hangover ya hasira ambayo itatoka atapokamilisha maelewano na mdhamini wake wa usambazaji za uzinduzi.

Pia nimepata Track mpya kutoka kwa :
Artists- AY Featuring Sauti Sol
Song- I DON'T WANNA BE ALONE (SHUKURU)
Produced By- Freddie (Homeboyz Production) & Hermy B ( B HITZ STUDIO)

...........VERY Sooon zitakuwa hapo pembeni kwa kusilikiza...............

TWANGA PEPETA INDEPENDENCE TOUR IN ENGLAND.

Wednesday, November 9, 2011

R.I.P THE HEAVYWEIGHT EMCEE OF ALL TYME.... HEAVY D.(1967-2011)


Jina linalosimama ni Dwight Arrington Myers (May 24, 1967 – November 8, 2011) a.k.a Heavy D, mzaliwa wa Jamaican ambaye alikuwa American actor, rapper, record producer, singer na kiongozi wa zamani wa kundi la Hip Hop lililojulikana kama Heavy D & the Boyz, ambapo alikuwa pamoja na G-Whiz (Glen Parrish), "Trouble" T. Roy (Troy Dixon), and Eddie F ambalo lilitamba sana miaka ya 1990s.


Heavy D ali-perform katika BET Hip Hop Awards ya mwaka 2011 iliyofanyika October 2011 na ndio ilikuwa live performance ya kwanza kwa miaka 15 iliyopita. It was his first live performance in 15 years. Heavy D Kafariki November 8, 2011 in Los Angeles, California, akiwa na umri wa44. Chanzo kinasema alianguka akiwa nyumbani kwake Beverly Hills na kukimbizwa hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center. na baadae kuripotiwa amefariki Dunia. MUNGU MULAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

Monday, November 7, 2011

SALAMA JABIR..... IS BACK AGAIN... VERY SOON.

MTANGAZAJI MAARUFU SALAMA JABIR ANARUDI KIVINGINE NA KIPINDI KIPYA
KABISA KINACHOITWA ‘MKASI’ KITAKACHOKUWA KIKIRUSHWA HEWANI KILA SIKU
YA JUMATATU KUANZIA SAA 3:30 USIKU.

KIPINDI HICHI KITAANZA KUONEKANA HEWANI KUPITIA EAST AFRICA TV KUANZIA
TAREHE 14 MWEZI NOVEMBA 2011.

KIPINDI HICHO KITAKUWA KIKIFANYIKIA SALOON NA KUHOJI WATU MBALI MBALI
WENYE VIPAJI LUKUKI KUHUSIANA NA MAISHA YAO BINAFSI NA HII NI KWA MARA
YA KWANZA KUFANYIKA KATIKA HISTORIA YA VIPINDI VYA AFRIKA YA MASHARIKI

KUTOKANA NA MTIRIRIKO MZIMA WA KIPINDI ULIVYO NA MANDHARI YAKE.
USIKOSE KUTAZAMA LUNINGA YAKO ILI KUPATA KILICHO BORA KUTOKA KWA SALAMA JABIR.

NI ‘MKASI’ UTAKAOTIKISA TANZANIA NA AFRIKA YA MASHARIKI KWA UJUMLA.
KUMBUKA NI KILA JUMAATATU SAA TATU NA NUSU USIKU

..................... SO STAY TUNE ON EATV........

KUTOKA TRH 5 NOV SASA NI 26 NOV 2011..... VOL 11.......

Baada ya kuwekewa kauzibe sasa mambo ni trh 26 nov...... chini ni baadhi ya Status za Mh. Sugu kupitia Account yake ya Fb!!...
"TAARIFA:TUMEPELEKA MBELE CONCERT YA ANTIVIRUS TOKA TAR 5 NA SASA ITAFANYIKA TAR 26 NOV. KWENYE VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWI WA JAMII KIJITONYAMA (Confirmed already!!)...HII NI KUTOKANA NA 'WANGA' KUTUBANIA UWANJA WA POSTA AMBAKO NDO TULIPANGA KUFANYA CONCERT HII AWALI...NA ILIKUWA LAZIMA HII CONCERT IFANYIKE KWENYE VENUE YA NJE KWA KUWA TUNATUMIA BIG STAGE, BIG SOUND, WITH TOO MANY LIGHTS ON...!!!"


"...ANTI-VIRUS MIXTAPE VOL II IZ THE WORLD PREMIER...LAUCH CONCERT 0N 26 NOV. AT CHUO CHA USTAWI WA JAMII GROUNDS WHICH IZ LOCATED AT BAMAGA ALONGSIDE KIJITONYAMA POSTA GROUNDS...

AS WE SAID,WE MEAN BUSINESS THIZ TIME..BIG STAGE, BIG SOUND, TOO MANY LIGHTS FOR THE NITE!

THE STREET SOLJAHZ LINE UP:SUGU, MKOLONI, SOGGY DOGG, DANI MSIMAMO, SUMA G, RAMA DEE, MAPACHA, D WA GHETTO, G SOLO, COIN 1, ADILI HISABATI, MABAGGA FRESH, LWP, MANZESE CREW...NA SURPRISES KADHAA!!!

CONCERT HII NI YA KIZALENDO NA HAITAKUWA NA WASANII WA NJE KABISA!

HAYA YOTE YANATOKEA HUKU MBUNGE AKIENDELEA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE VIKAO PAMOJA NA ZIARA ZA KAMATI YA BUNGE HAPA DAR,NA MCHANGO WETU HAUFICHIKI KILA TUNAPOTEMBELEA SEKTA MBALI MBALI TUKIWA NA KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII...Holla at yo MP!!! "
Hapo ni baadhi ya vinega wakiwa na Dj choka........ down ni kuhusu line up za Djz watakaosababisha na LP siku hiyo.......
"TAARIFA: DJ'S LINE UP USIKU WA TAR 26 NOV. KWENYE CONCERT YA VINEGA VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWI WA JAMII-BAMAGA NI PAMOJA NA LEGENDARY DJ JD a.k.a JOHN DILLINGER MATLOU,DJ MAJIZO a.k.a MAJEY PAMOJA NA DJ BBG...MPE TAARIFA MCHIZI WAKO,PIA MWAMBIE NA DEMU WAKO NAYE AWAAMBIE MADEMU WENZAKE WAJIANDAE KUONA MI-SWAGGA YA UKWELI STEJINI USIKU HUO...Holla at yo MP!"

Kati ya Ma-dj niunaowapa respect hapa town ni everlasting Dj John D......... HA HAA HAA HAA MOTooooooooooo mbaya siku hiyo........

Thursday, November 3, 2011

UDLS INTER CAMPUS 2011 SIO YA KUKOSA.

Kwa wasomi wote wa vyuo vikuu around Dar na wale wengine wapenda Bata za wkend hii si ya kukosa ... so tupia hapo kati then tule Bata na Cpwaa na Linenga Linex na wengine kibao..... c u then!!!!!!!!!

BRAND NEW VIDEO - AY feat. SAUTI SOL.


In a move no one anticipated, neo-soul boy band Sauti Sol and Tanzanian Hip-Hop heavyweight AY have teamed for what can only be described as a musical cross breed between the soft sounds of Sauti and the heavy thumping that's AY's signature. "I don't wanna be alone" leaves you feeling mesmerized at the very least, and it's not just the powerful vocals on the track but also the well thought, conscious yet not over-the-top lyrics that'll get you hitting the replay button.

And If the song doesn't do it for you, the video will probably have you sold; five minutes of panoramic scenery, beautiful palettes of bright colors and a story well knitted into it all. The boys have outdone themselves once again.

click here to watch this video

GET TO KNOW THE SINGER OF NAKUPENDA WEWE.

BIOGRAPHY

Mr. Emmanuel Chukwuemeka, alias LchroniCle, was born in the middle 80s to his humble parents, Mr. & Mrs. Chukwuemeka, from Anambra State in the Eastern part of Nigeria, West Africa. He is a versatile and a prolific Afro/Pop recording performing artist, a song writer, vocalist with deep sense of focus and passionate for the Entertainment Monarch. Reside in Lagos Nigeria. He started his movement right from the womb and this propels him in writing his own songs single handedly with every greatness and challenges after leaving a music group called “After'Et” in 2007, this group captivated many true music lovers with their soulful track, “Life is good” but due to financial constraints and music politics on the up-coming artists in general they ended up not having much prominence.

He then took off to Northern Asia, Shanghai" from where he stands out for better spectator in Nigeria Music Industry and he is doing it with his booming Chinese track in Asia "Ni de ai (Your love)"in Asia. Since then, that idea has been so cool for him. In his own words, " I can now see the African Music Industry for real, it's not Yankees, and we are Oriental'"... The music name "LchroniCle" was coined from his life story. His music sense portrays his actual life; how the struggle of living has been, his family and the realities of life in his environment. His quotes” A fall is a rise, let not down your positive Flag for no good thing comes easy”.

Evolved from his pain is an enormous LchroniCle’s upcoming album, ‘‘Chronicle Of Lc’’ that is still on packaging with the sold-out track "Nakupenda Wewe", a burning flame in Nigerian music Industry and East Africa as a whole. Produced in Nigeria by Geamat, and shot in Tanzania with the direction of MEGA-FORCE PICTURES. Nakupenda Wewe is an East African language Swahili which means “I love you”. And it shows that love got no boundary.

To every action, there is an equal and opposite reaction. This global law of motion implies to every successful artist. The LchroniCle’s style and musical lyrics are represented in the actions he undertake in correspondence to the chronicles of his past, which can be deduced mainly in his solo efforts in his other promotional tracks Gbowo and Dj dey kill .
The talented poet, singer came from a very strong Christian home and both parents happen to be ministers in the vineyard of God. His musical career has been masked by many ups and downs out of which he remained strong, surviving as L.C an acronym for "LchroniCle"

lchronicle@ymail.com

FACEBOOK: Lc Baba

TWITTER: @lchronicle

NAKUPENDA WEWE (YOUTUBE LINK): http://youtu.be/j33DmJi9mC4

VIDEO DOWNLOAD LINK (NAKUPENDA WEWE): http://www.sendspace.com/file/97j3wi

MP3 DOWNLOAD LINKS: http://mp3twit.com/bVI