Monday, October 3, 2011

TAMKO RASMI LA DUDU NI MAMBA a.k.a DUDUBAYA!!

Leo kwa kiujumla ni siku muhimu sana yenye matukio mengi hapa Tanzania... Kama ya kisiasa na pia kiburudani zaidi..... so siasa za bongo tuwahachie wabongo wenyewe tuu kwani ubongo ni zaidi ya Demokrasia.. si tudeal na Burudani . so kiburudani ni hiviii kama nilikuwa sehemu nimechil napata lunch yangu mara nikapokea call kutoka kwa Legend na mwanaharakati wa muziki hapa Tanzania ambaye si Tz tuu ata nje ya mipaka anasomeka sana tuuu!!!

Namzungumzia mtu mzima Dudu ni Mamba au Dudubaya ambao wachache wetu tunamfahamu kwa jina la GT....... So kama the big man kaamua kufunguka kwa kusema haya yafuatayo :-
"KUANZIA LEO TRH 3 OCT 2011 NIMEHACHA KUNYWA POMBE. NILIANZA POMBE TANGU MWAKA 1999 NIKIWA MOROGORO HOTEL, NILIANZA KWA KUTUMIA SAFARI LAGER NA BAADAE NIKAWA NATUMIA CASTLE LAGAR, NIKAWA NA KITAMBI NA MWAKA 2005 NIKAANZA KUTUMIA KONYAGI ILI NIPUNGUE, MPK SASA.. UAMUZI HUU NI WANGU MWENYEWE, SIO NIMESHAURIWA NA MTU"
alimalizia kwa kusema hayo duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!


Ni suala la msingi sana kwa uhamuzi huo kwani Pombe ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! hapo juu ni mwaka jana nilipopiga bonge la interview na mtu mzima Dudu home kwake pande za Tegeta!!!

Hongera sana mtu mzima na pia ifanye hiwe hivyo milele. GOD BLESS YO!!!!!!!


No comments:

Post a Comment