Monday, October 31, 2011

MIEZI MIWILI YA NDOA:- KIM KARDASHIAH NA KRIS HUMPHRIES>>>>.. KUSH NEI


Daah hizi mambo ni balaaa..Kim Kardashian ndani ya siku 72 ktk ndoa na mumewe Kris Humphries J.3 ya wiki hii wamepigana chini live, huku Kim akisema "she got Hers and Humphries got nothing. " lkn ndio mamboz yalivyo.

Chakushangaza ni kwamba ktk talaka ambazo tumezizoea kule mbele ni kwamba mwanasheria anahsika sana lkn kwao ni kama no lawyers, zaidi wahusika watalipa Ada ya Mahakama huku Kim Kardashian akimkodisha mwanasheria maarufu Holywood ambaye anakwenda kwa jina la Laura Wasser kumwakilisha kwenye Talaka yake.

Kwenye statement yake Kim Kardashian aliandika kuwa: "Baada ya mahusiano makini, nimeamua kuvunja ndoa yangu. Nina imani kila mmoja anaelewa kuwa sio uamuzi rahisi. Nilitegemea ndoa yangu itakuwa ya daima milele lakini muda mwingine mambo hayakwenda sawa kama yalivyopangwa. Zaidi tumebakia kama MARAFIKI na kutakiana mafanikio."


No comments:

Post a Comment