Thursday, October 20, 2011

Mh. SUGU : ANTI - VIRUS MIXTAPE VOL 2 KUZINDULIWA NOVEMBER

Nikizungumza na Mh. Sugu kutoka Mbeya city a.k.a Green City kuhusiana na mchongo mzima wa status yake niliyoikuta facebook ikisema :-

"ANTI-VIRUS MIXTAPE VOL 2:LAUNCH CONCERT at POSTA COLLEGE GROUNDS-KIJITONYAMA:DATE SAT 5th NOV. 2011...BIG STAGE,BIG SOUND,BIG ARTISTS LINE UP...STAY TUNED!!
"

Baada ya kuchonga nae nikitaka kujua list ya artist watakao kuwepo pale kati , Mh. Sugu aliniambia kwa sasa itakuwa mapema sana kutoa ilo ila tyme ikifika atanitoni share na wadau wangu hapa mnadani.

Kitu cha msing alichoniambia kwa leo ni kuwa wamejipanga vya kutosha na kutakuwa na sound kali stage kali na pia lights za kutosha kutoka kwa E-Master , hope mnajua mziki wao na pia wamejipanga kwa kusisitisha patakuwa Hapatoshi hapo katiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... so kaa mkao wa kupokea maujanaja!!!

No comments:

Post a Comment