Monday, October 3, 2011

HAPPY B'DAY HUSSEIN MACHOZI....>>> UTAIPENDAA!!

Leo ikiwa ni siku ya tatu ya wiki na ikiwa ni siku ya tatu pia ya mwezi huu wa kumi (Oct) pia ni siku ya kwanza kwa jamaa kukumbuka siku yake ya kuzaliwa miaka kadhaa iliyopita , tho ni nadra sana kwa mastar wetu wa bongo kutaja umri wao......

Nway pia naungana na wadau wote wa muziki huu na mashabiki wa HUSSEIN Machozi kumtakia B'day njema na maisha marefu yenye baraka teleeeeeee.......... Hasa ambapo kwa sasa karudi Home kwa mtu mzima Kid Bway pale TETEMESHA REC.

HAPPY B'DAY NA WOTE MNAOKUMBUKA SIKU YENU PAMOJA NA MACHOZI WA UTAIPENDA!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment