Monday, October 3, 2011

DIAMOND PLATNUMZ + BOB JOUNIR = PEACE.

Ni moja kati ya suprise aliyowahaidi watu ataidondosha pale New Maisha Club kwenye Birthday yake .... ni mtu mzima Diamond ambaye jana alikuwa anasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

Kati ya vitu ambavyo amefanya ni vya kipekee na vya kuigwa.... yote tisa lakini kumi ni pale jamaa alipovunja ukimya kwa kutoa tunzo kwa wale watu muhimu kwake waliomfanya yeye kufika hapa alipo, so kama mtu wa kwanza alikuwa ni Mama mzazi ambaye alifaa kutupiwa kitu hicho hapo ...... lkn pia Diamond akafunguka kuwa kwa sasa kaziliwa upya na anataka azaliwe kimwili pa na kiroho hivyo akadondosha bonge la Suprise kwa kuomba msamaha kwa Producer aliyemfanya ashine kihivyo na ambaye hapo kati walikuwa na beef mbayaaaaaaaa mpk kufikishana mbele ya sheria (mchuchu Wema) na vitu ka hivyo...... so kama jamaa alitoa pia tunzo kwa mtu mzima Bob Junior nakufanya nyomi shazi iliyokuwemo humo ndani kulipuka kwa ndulu ajeeeeee!!

Binafsi nasema ni jambo la kuingwa na kupongezwa sana sana!!! pia hata watu kadhaa wamelikubali na kumpongeza Diamond kwa moyo alioonyesha!!!! BONGOFLEVA BILA BEEF INAWEZEKANA!!!!!!!!!!!!!

Fanyeni kazi sasa na wengine wataiga kupitia kwenu!!

No comments:

Post a Comment