Wednesday, October 5, 2011

BESTA AFUNGUKA KWA KUKATA UKIMYA WA MUDA MREFU.

Anafamika kama Besta Prosper Rugeiyamu a.k.a Mrs Marlaw ambaye alikuwa kimya kwa takribani 3yrs hivi katika Game, ila sasa Besta kawa-promise mashabiki wake kuwa very soon ataANZA KUPIGA SHOW KAMA kawa.........

Nway design kama leo nilipitia page yake ya Facebook na kukutana na bonge moja ya Status ambayo kwa kweli imenipa mtazamo tofauti na changamoto kama kijana!!

"leo ni wedding anniversary ya wazazi wangu wapendwa Mr.&Mrs. Rugeiyamu. nawapongeza sana kwa kufikisha miaka 36 ktk ndoa yenye furaha, amani na upendo. kwakweli wanastahili pongezi, na ni moja kati ya mifano mizuri ya kuigwa kwakua ktk karne hii, vijana tumekua si wavumilivu katika ndoa zetu! divorce au mtu kuamua kuchukua kilicho chake, imekua ni kama fashion! ni muda muafaka wa sisi vijana wa kizazi hiki kujiangalia ni mambo yapi hasa yanayotufanya tusidumu kwenye ndoa au mahusiano!"
Hiyo ndio kitu ambayo nilipenda ku-share na wapenzi wa Best amabaye soon anatarajia kudondosha ngoma kali iliyofanywa na Lamar wa FishCrab na kuaidi Video yake kutoka soon...
So kama tukae kumeza hiviiiiii!!

No comments:

Post a Comment