Monday, October 3, 2011

AM BACK AGAIN.!!!!!!!!!!

Mabibi na mabwana habariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!, kama ni kumiss Basi me nmewamiss kinomanoma sn. nway kama nilivyokuwa na update kupitia ukurasa wangu wa Facebook kuwa nilikuwa na matatizo ya kuuguza mzee wangu pale Bugando Medical Hosp takriban kwa mwezi mzima Nilikuwa mwanz the Rock City, lkn cha muhimu ni kumsuhukuru Mungu kwa uwezo wake mkuu na pia kutanguliza shukuran za dhati kwenu kwa sala mlizotupia na kwa sasa mzee anaendelea poa sana.

Zaidi sitakuwa na maana kama nisipowasema watu hawa kwa ili..... FREDY G, my young Bro kwa kazi kubwa uliyofanya kipindi chote cha kuuguza then mtu mzima Baba mdogo George Mulokozi kwa moyo na upendo uliyomuonyesha Bro wako kipind chote yupo Hosp na bila kumsahau my lovely Mamy ( The BEST EVER!!) kwa kile ulichokifanya.

All in all ndg jamaa na marafiki asante yenu!! Much LOVE & GOD BLESS YO!!!

No comments:

Post a Comment