Thursday, October 20, 2011

4 SHO 4 SHIZZY>>> BRAND NEW TRACK TOKA KWA "CMB PREZZO"


Kutoka Naiii Kenya once Again is the return of Jackson Makini a.k.a CMB PREZZO ambay amerudi kwa kudondosha kazi mpya ambayo inakwenda kwa jina la 4 SHO 4 SHIZZY na humo kati kamshirikisha mkali na Producer wa ngoma hiyo anaefahamika kwa jina la ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya.


kusipo babaisha kama kawa kama dawa mwana kashatupia kitu kichupani tayari kwa kusambazwa ambapo Video ya ngoma hii amefanywa na kampuni ya BOOMBA na inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima.


So kama hujaitegea sikio fanya kubofya faster na weka macho tayari kuitupia hapo kati maaana jamaa huwa habahatishi kibyasaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment