Monday, September 5, 2011

MO PLUS ,ROMA NA BANX NDAN YA TRACK MOJA.


Baba wa ukoo a.k.a Mo plus ndani ya Noizmekah studios Arusha akiwa na Banx & Roma ambapo ilidondoshwa hiphop track ya ukweli,
Ngoma hiyo ipo katika harakati za kufanyiwa mixing."m2 mzima nimemshirikisha Roma mkatoliki coz mziki wake upo real kama wangu so ni blessing kwangu na hiphop kuweza kuendeleza revolution,

Hii ni mara ya kwanza kwa Roma Kufanya track ndani ya noiz na ndan ya A-town,mbali na ngoma hii itakayotoka hewani baada ya mixing, nimeshaanza project ya mixtape na JCB,Ngoma ya kwanza ikiwa ni beat ya producer "Moscore" na mixing ya "Dx" ndani ya noizmekah arusha.
Pini
hilo pia Banx kasmamia chorus na linaenda kwa jina "everywhere we go"


ALL the Best Mo Plus na harakati zako!!!!

No comments:

Post a Comment