Friday, September 9, 2011

MEMBER WA MEXICANA LACAVELA ADONDOSHA NGOMA .


Kijana O-Key Gethochild anajulikana pia kama Octavian Thomas amabaye pia ni member wa kundi la Mexicana Lacavela . So Ngoma hii imeachiwa rasmi leo Friday September 9, Ambapo lengo la kuachiwa kwa ngoma hii ni iwe special kwa Bi mkubwa wake, ambaye leo ni siku ya kuzaliwa kwake ............... kwa hiyo ni special dedication to His mama.

Dogo ni mkali kama walivyo wenzake ndani ya kundi la Mexicana Lacavela . O-key anatokea Pande za Keko Mwanga, Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.

Ukichungulia katika YOU TUBE waweza kuipata hapa http://www.youtube.com/watch?v=5GNOc6sAg-4

Artist: O-Key Ghettochild Ft Fidodido
Tittle : Nipishe
Producer: Mesen Selekta
Studio : De Fatality International Music
Mawasiliano:(O- Key)- 0713 055527

Kwa hisani ya:

http://ukurasampyahuu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment