Sunday, September 18, 2011

ANTI-VIRUS VOL 1 PART II....... MIXTAPE HII NI NOMA!!!!! (Sep/11)


Siku moja kabla ya Dunia na hasa Marekani kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 10 ya shambulizi la kigaidi siku ya jumapili AMBAYO ujulikana kama SEP/Eleven (9/11)...... nilipokea simu kuambiwa mzigo unachomoka so kama mwanaharakati inanibidi kufanya juu kuusoma na kusikiliza kwa makini nini kimetupiwa humo ndani.......................................

Cha ajabu hii ni tofauti na ile Vol 1.... Daaaaaaaah namanisha siku ya tukio nilikuwa wa kwanza ku-download mzigo sa si ndio nikashangaa sana kukuta idadi ya Vinega imeongezeka kulinganisha na wale waliokuwa waki-Bang kwa Vol 1.

Walioongezeka ni Prof. Ludigo, Adili, Sogy Doggy, Suma G, D wa Gheto, na Mkali wa R&B Bongo Tz nzima namzungumzia Rama Dee!!!!!!!!! Humo ndani kama kawa wakongwe wamo... hapo kati K & D wa Mapacha, Dany Msimamo, Mkoloni na jamaa mwenyewe Mh. SUGU wa Mbeya haaaaaa haaaa haaaaaa

Humo ndani ni nomaaaaaaaaaaa wamechana wote wanaoitwa Ma-Richmond wa Bongo Fleva!!!!
Nway nisiongee sana wakati unaweza pata mzigo na kuusikiliza au ku-download kupitia www.swahilioriginaltz.com then fungukaaaaaaaaaaaaaa!!!

No comments:

Post a Comment