Sunday, September 18, 2011

ANTI-VIRUS VOL 1 PART II....... MIXTAPE HII NI NOMA!!!!! (Sep/11)


Siku moja kabla ya Dunia na hasa Marekani kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 10 ya shambulizi la kigaidi siku ya jumapili AMBAYO ujulikana kama SEP/Eleven (9/11)...... nilipokea simu kuambiwa mzigo unachomoka so kama mwanaharakati inanibidi kufanya juu kuusoma na kusikiliza kwa makini nini kimetupiwa humo ndani.......................................

Cha ajabu hii ni tofauti na ile Vol 1.... Daaaaaaaah namanisha siku ya tukio nilikuwa wa kwanza ku-download mzigo sa si ndio nikashangaa sana kukuta idadi ya Vinega imeongezeka kulinganisha na wale waliokuwa waki-Bang kwa Vol 1.

Walioongezeka ni Prof. Ludigo, Adili, Sogy Doggy, Suma G, D wa Gheto, na Mkali wa R&B Bongo Tz nzima namzungumzia Rama Dee!!!!!!!!! Humo ndani kama kawa wakongwe wamo... hapo kati K & D wa Mapacha, Dany Msimamo, Mkoloni na jamaa mwenyewe Mh. SUGU wa Mbeya haaaaaa haaaa haaaaaa

Humo ndani ni nomaaaaaaaaaaa wamechana wote wanaoitwa Ma-Richmond wa Bongo Fleva!!!!
Nway nisiongee sana wakati unaweza pata mzigo na kuusikiliza au ku-download kupitia www.swahilioriginaltz.com then fungukaaaaaaaaaaaaaa!!!

Friday, September 9, 2011

MEMBER WA MEXICANA LACAVELA ADONDOSHA NGOMA .


Kijana O-Key Gethochild anajulikana pia kama Octavian Thomas amabaye pia ni member wa kundi la Mexicana Lacavela . So Ngoma hii imeachiwa rasmi leo Friday September 9, Ambapo lengo la kuachiwa kwa ngoma hii ni iwe special kwa Bi mkubwa wake, ambaye leo ni siku ya kuzaliwa kwake ............... kwa hiyo ni special dedication to His mama.

Dogo ni mkali kama walivyo wenzake ndani ya kundi la Mexicana Lacavela . O-key anatokea Pande za Keko Mwanga, Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.

Ukichungulia katika YOU TUBE waweza kuipata hapa http://www.youtube.com/watch?v=5GNOc6sAg-4

Artist: O-Key Ghettochild Ft Fidodido
Tittle : Nipishe
Producer: Mesen Selekta
Studio : De Fatality International Music
Mawasiliano:(O- Key)- 0713 055527

Kwa hisani ya:

http://ukurasampyahuu.blogspot.com

Tuesday, September 6, 2011

TANZANIAAAAAAAAAAAAAAA VOTE 4 AY - CHANNEL 0 VIDEO AWARDS 2011.


Oyooooooooooo wana na wadau wa Muziki wa Tz!! hii ni kwa ajili yko ili support ya Muziki wa kizazi chetu Tanzania. Kwa wale wa simu fanya ku-sms kwa kuandika Neno 4D kwenda namba +27 83 920 8406 kama Most Gifted Duo. Group or Featuring Video na utakuwa umemwezesha yeye na Tanzania kuchukua hiyo Tunzo.

Au andika neno 13C then tuma kwenda +27 83 920 8406 kama Most Gifted African East Video.
Pia waweza Vote kupitia : www.channel0.tv

So time ndio hii watanzania kuonyesha uzalendo wako kwa AY na maendeleo ya Muziki wetu.!!!

Monday, September 5, 2011

MO PLUS ,ROMA NA BANX NDAN YA TRACK MOJA.


Baba wa ukoo a.k.a Mo plus ndani ya Noizmekah studios Arusha akiwa na Banx & Roma ambapo ilidondoshwa hiphop track ya ukweli,
Ngoma hiyo ipo katika harakati za kufanyiwa mixing."m2 mzima nimemshirikisha Roma mkatoliki coz mziki wake upo real kama wangu so ni blessing kwangu na hiphop kuweza kuendeleza revolution,

Hii ni mara ya kwanza kwa Roma Kufanya track ndani ya noiz na ndan ya A-town,mbali na ngoma hii itakayotoka hewani baada ya mixing, nimeshaanza project ya mixtape na JCB,Ngoma ya kwanza ikiwa ni beat ya producer "Moscore" na mixing ya "Dx" ndani ya noizmekah arusha.
Pini
hilo pia Banx kasmamia chorus na linaenda kwa jina "everywhere we go"


ALL the Best Mo Plus na harakati zako!!!!

BBM PARTY @ MBALAMWEZI BEACH.


Dj Choka n Pro 24 Djz will b on the mix to make the crowd goin crazzziieeeee !!! 7pm till late....let's party all nite


BBM PARTY - LETS MEET AND PING @ MBALAMWEZI BEACH (G5CLICK)

DON'T MISS... U CAN'T MISS... U DON'T WANA MISS

SHUKRANI KTOKA KWA MWEUS SHAH BANG WA RIVER CAMP.

Ikiwa ni siku chache tangu video yangu kuruka hewani katika
mtandao wa
Internet kupitia youtube, nawapa gwara fans wangu wote waloweza ku-click link na kumashavisha h.i.p.h.o.p mpaka video yangu kufikia views zaidi ya mia nne na nusu...!

Otherwise harakati za kuachia mzigo
katika vituo vya televisheni naanza wiki hii so support iendelee machiz pamoja sana wote,one--Shah bang the Genius

http://www.youtube.com/watch?v=G7XpFmulZcU