Tuesday, August 16, 2011

SIKU CHACHE BAADA YA SUGU KUFUNGUKA MJENGONI.... VIBE KILA KONA.


Siku chache tuu baada ya Mbunge wa mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kufunguka mjengoni kuhusu watu wachache kufaidi matunda ya muziki huu wakati wahusika wakihustle daily, amewacha wadau wa muziki huu wakigongana mitaani kushikana uchawi...... Si wale aliyowalenga moja kwa moja (Ruge) au wale aliyowataja kwa mafumbo kama ma-Richmond wa Bongofleva (Mwana Fa) na wengine kibao.

Kupitia Media , tumesikia mengi na pia kitaa Vibe hasa kwa Vijana wanaohusika humu sana.
SWALI LANGU NI WHAT'S NEXT?????????????????????

No comments:

Post a Comment