Wednesday, August 17, 2011

MWANA FA KUDONDOSHA ALBAMU BAADA YA MFUNGO WA RAMADHANI.

Muite Fa au Binamu ambaye anawashauri watu wasije mjini huku yeye akiendelea kula bata sana kwa Jiji la maraha na karaha..... nway sio mpango mzima ... Issue ni kwamba jamaa anaongea na wewe kuwa baada ya mfungo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani atadondosha Albamu ambayo mpk sasa hajaipatia jina... Akifunguka kwenye Drive Show ya East Africa Radio amesema ni mapema sana kwa yeye kutaja jina la Albamu hiyo.

Hope itafanya poa kama single yake ambavyo inabang kwa vituo vingi vya radio na Tv hapa Bongo. ...


No comments:

Post a Comment