Wednesday, August 17, 2011

FREGE :KICHWA KIPYA TOKA TETEMESHA REC.

Huyu ni msanii anaefanya muziki wa hip hop kutoka kanda ya ziwa, Chini ya Pro Kid Bway wa Tetemesha recordz, Kafunguka na single yake ya kwanza kutokea pale . Na hapa namnukuu Kid Bway ktk mazungumzo kuhusu jamaa "na baada ya kuona uwezo wake ni mzuri nimeona nimsaidie kumsambazia kazi yake i hope utaipenda na kumsaidia. Anaitwa Frege".

Jombaa ukipata nafasi ya kusikiliza ngoma ndio utajua Kid Bway anamanisha nini hapa!!!!

SONG DETAILS

Track Name: NI WEWE TU
Artist: FREGE
written by: FREGE
arranged by: KID BWOY
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ (Mwanza)


No comments:

Post a Comment