Tuesday, July 5, 2011

R.I.P CHARITY TUNDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tulimpenda sana ila Mungu kampenda zaidi.... Charity Tunda amefariki jana trh 4/7/2011 katika Hospitali ya Mount Meru. Na mipango ya mazishi inaendelea.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Charity Mahali Pema Peponi Amina!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment