Wednesday, July 13, 2011

LADY GAGA NA VAZI LA PAZIA CLUB.... DAAAH!!!!

Huyu ndio Lady Gaga unayemjua .. kati katupia vazi ambalo MTV wameligundua kuwa ni Pazia ndio limetendeka hapo kati na kulifanya liwe vazi la kutupiwa night Club moja huko Sydney Australia inayokwenda kwa jina la City's Nevermind NightClub.......


Daaaaaaah Lady Gaga ametishaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment