Monday, July 11, 2011

HATIMAYE BECKHAM APATA BABY GAL......(HARPER SEVEN) !!Hatimaye the Beckhams wamepata a baby girl!

Former Spice Girl Victoria Beckham (37) amejifungua mtoto wa kike majira ya saa 7:55 a.m. Sunday morning at Cedars-Sinai in Los Angeles. Akiwa mama wa wavulana watatu ambao ni Brooklyn, (12), Romeo (8), na Cruz (6), Huyu ndio binti wao wa kwanza with husband of 12 yrs David Beckham.


"Happy and healthy" little girl mwenye uzito wa 7 lbs. 5. Hii ni furaha ya familia nzima huku Brooklyn, Romeo and Cruz wakiwa excited kumkaribisha Dada yao katika familia.


Design kama madogo walipewa nafasi ya kupendekeza jina la sister. "tulipata majina machache, lakini pia tuliwapa nafasi vijana nao watupatie ideas,'" David ameelezea. "Walipotwambia kuwa ni mvulana , Romeo was like, 'Vipi akiwa Justin Bieber Beckham?' So now tumejua ni msichana, he's like, 'What about Justine Bieber Beckham?'"...........


Mwishowe jina limepatika na Beckham kupitia wall yake ya Facebook kafunguka kuwa mwanae mpyaaa wa kike anaitwa Harper Seven Beckham........ All the Best !!!!!

No comments:

Post a Comment