Friday, July 8, 2011

BOW WOW AFUNGUKA KUHUSU MTOTO WAKE WA KIKE.

Rapper Bow Wow amefunguka kwa wadau wake kupitia barua aliyoandika kwenye website yake kuhusiana na mtoto wake wa kike. "I waited so long to tell yall the truth because i was nervous on how yall would look at me,"..........
Ndivyo alivyofunguka japo kuwa aliongezea kuwa Binti anakua faster bt hakufunguka kuhusiana na umri wake zaidi ya kuiminya kama siri.......

Bow Wow, ambaye real name ni Shad Moss, Amesema pia hana mpango wa kupost pix za Binti yake hadharani ili kumpatia chance ya ku-Enjoy Maisha ya Utoto ambayo Yeye hakuwahi kufapata before. "Want her to be able to cheerlead with her lil friends with out some a--hole sticking his camera all in my lil girl face," .... Na kuongezea kuhusiana na Umaarufu .. "I know how fame is. I missed out on so much that i now know how important it is to cherish and have those things in your life."The 24-year-old pia ameongezea kwa kusema Binti yake huyo anaishi na mama'ke (mzazi mwenzie) across the country kitu kinachomchukua kusafiri kwa ndege kwa masaa matano (5) kwenda kumuona Bintiye....... "I find myself going into my i phone book jus lookn at pix of her."

No comments:

Post a Comment