Thursday, June 30, 2011

WHEN KING MEETS PRESIDENT "WATAWALIWA" USEMA NINI ????????????????????

Hii ni picha nimeisakua Fb leo ktk pitapita zangu... si ngeni machoni lkn comment zilizotupiwa hapo ndio zilikuwa ngeni kdogo kwangu:-


Fredrick Bundala Self proclaimed king of afternoon's shows na president of afternoons' show! f****k

Rajabu Robert hey hey wachu meen

Fredrick Bundala Si ndo wanajiita hivyo

Rajabu Robert izo mbwe mbwe wizzy kwny shw bt....!

Fredrick Bundala Kujipa cheo si kazi! Wacha wananchi wawape majina hao wenyewe! kuna radio ngapi sasa nchini zenye show za mchana mpaka wajiite hivyo! Ndo maana wanaigana mpaka kucheka. Am not hating, m just speaking my heart out!

Renatus Bizzo Kiluvia Speaking trully Sky...umeniwahi kdg sana..nilitaka niseme hvyovhvyo@SKY ,@ Raj dn't listen to these guys..u'll endup with NOTHING in this field..go to school and learn how to be a GOOD presenter km unataka kazi hii iweke MSOSI wa ukweli mezani na kids waende in good SCHOOLS@Rajabu Robert

Rajabu Robert da!!eazy!eazy! guyz!kuna presenter thy been on top b 4 thz gyz so let dem tok bt ukwel utabaki pale pale mdomo upo free so any1 cn tok wereva h/sh tok , ‎10x xn 4 ya advc@bizzo

Renatus Bizzo Kiluvia Unajua competition ni NZR..lkn pia ni MBAYA..oll thoz guyz nawafahamu since wayback n they r my frnds...SAM had never being lyk he is now when he was 92.9 MAGIC fm doin' "MAGIC SUNDOWNER"...lkn amebidi awe alivyo leo kisa competition(POWER ...JAM v/s XXL)..wapi pameandikwa that style ndo "utauza" sana??Kuna Show ya mchana ina listeners km "SHOWTIME"??Being u utaonesha TOFAUTI na wkt watu wanataka kitu tofauti watakusikiliza wewe@Rajabu Robert

Fredrick Bundala The problem is: Mawazo ya wabongo wengi yapo centralised kama tu jinsi muziki ulivyo kuwa kila kitu ni Dar. Watu hawaonagi telent za watu mpaka wawasikie kwenye radio ya Dar. Wangapi walikuwa wanachukuliwa poa kwenye radio za mikoani lkn ...walipofika clouds ama radio zingine za huko ndo wakaonekana wanaweza! Watangazaji wa radio nyingi za mkoani wanaamini kila wanachokisikia clouds ama east africa radio ndo bora! Huo ni utumwa wa mawazo. Be yourself and come up with your own identity Ndo maana wengi wameingia kwenye mkumbo huu wa kutangaza kama wao. Rajab chukua ushauri wa Bizzo ni mzuri.


Fredrick Maselle status ilinishtua kidogo wazee, nilidhani Rajabu alikuwa anatania, Kipindi hiki presenters wanakuwa kama wana ACT hivi wakiwa kwenye vipindi, ENTERTAINMENT INDUSTRY ya tanzania imejaa waigizaji tu, hii soap inanifurahisha sana, kuanzia MIZIKINI , FILAMUNI PRESENTERS, MODELS, PRODUCERS, DIRECTORS. damn

Hayo ni mazungumzo ya wadau waliokuwa wanatupia comment zao kwenye hiyo pic..... hapo ni B12 a.k.a The king of afternoon show wa Clouds Fm kupitia kipindi cha XXL na Sam a.k.a President Presenter wa East Africa Radio kupitia kipindi cha Power Jam. Wote vipindi vyao uanza saa 8 mpk 10 jioni......

So we mdau un mtazamo wako mwingine?????????
TUPIA COMMENT YAKO HAPAAAAAAAAA!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment