Tuesday, June 28, 2011

MKOLONI AFUNGUKA KUPITIA FACEBOOK KUHUSU FIESTA - MBEYA.


Kupitia wall yangu ya FB nimekuta mtu Mzima Fredrick Mariki a.k.a Mkoloni ambaye kwa sasa ndio katibu wa Mh. Sugu (mb) wa mbeya mjini (The Green City)... kuhusiana na Fiesta 2011 majotrooooooooooooooo inayoandaliwa wa clouds Entertainment kupitia Clouds Fm kwa udhamini wa bia ya SERENGETI LAGER................................ kAFUNGUKAA


"""Mbeya hatutaki FIESTA!.....wengi wamechangia na kuongea sana katika wall ya Sugu ila ukweli ni kwamba sio waathirika wa Fiesta,tuulizeni sisi ambao tupo kwenye hili game. Tunaamini tunachosema,tunajua tunachosema...anayehitaji ufafanuzi na mifano mingi tu anakaribishwa!... """""

Hayo ndio maneno machache ya mtu mzima Mkoloni..... zaidi fanya kumtafuta au comment hapa chini then me nitamfikishia Habari yake Binafsiiiiiiiiiiiiiii................

No comments:

Post a Comment