Thursday, June 16, 2011

BBA !!!!! INAKUAJE GALS TOKA TZ WANAVURUNDAAA???Mambo ajee Brozas & Sisterz??? kitambo sana sijatokea hapa kati kutokana na Matatizo ya msiba kwa Kumpoteza Aunt yangu Mpendwa JOYCE na Pia after 1 wk my beloved Bibi Pia akafariki,,.. Roho za marehemu zipumzike kwa Amani mahali pema Peponi Amen!!!!!!!!!!!!!!!!Let's back to the Busness bhana!! Mengi yametokea kipindi nipo out of the Town bt kuna hili nimelikuta na lipo hot sana ila mi najaribu kuja kwa mtazamo mwingine Tofauti..... Big Brother Africa ni moja ya mashindano makubwa sana hapa Africa kupitia Tv (Reality SHOW) yanayoandaliwa na Endemol .... Hakuna mjanja yoyote hasiyejua hili ata baadhi ya watoto wadogo wanalitambua hili....... So Mpk sasa Tanzania imeshawakilisha vya kutosha ktk Shindano la BBA lakini swali langu, Inakuaje Dada zetu wakienda huko wanavurunda???????????????Ina maana Tz hakuna wadada wakuwakilisha BBA poa??? Kwani ni kitu gani Boys wanafanya cha ziada ambacho Galz hawawezi???????TUANZE NA............


MWISHO MWAMPAMBA: Ndio mwakilishi wa kwanza kutoka Tz na hata kufanya poa hadi kuwa mshindi wa pili wa BBA1 ya 2003.... Na ndio ilikuwa BBA ya kwanza !!!!! So Tz tulifanya poa na kujiweka pazuri ktk ramani ya Dunia.RICHARD BEZUIDENHOUT: Daaaah huyu sio wa kusema sana kwani ndio alifunguka poa na kitita cha $ 100,000 USD... kwa madafu yetu ni soooooo baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwenye BBA2 ya 2007...Bravo!!!


LATOYA LYAKURWA: Kutoka A-Town mpk BBA3 mwishowe ikawa Zzzzzzzzz!!!!!!!!!! .. Akiwa ni first contestant kutolewa nje ya jumba hilo baada ya wiki moja ya upuuzi ndani ya mjengo ... nalo likapita kwani ndio alikuwa Demu wa kwanza kuwakilisha TZ ktk BBA3 ya 2008.....


ELIZABETH GUPTA: Ilikuwa ni BBA4 a.k.a THE REVOLUTION mwaka 2009 na mwadada tena akawakilisha ndani ya Jumba hilo ambapo alikuwa mshindani wa 17 kutolewa baada ya kula bata ndani ya Jumba kwa siku 63..... Sifa moja ya huyu Dada (Queen) nikwamba alifanya poa na kuwakilisha vizuri mjengoni na wengi walitarajia atafika mbali ukilinganisha na washiriki wote wa kike .........................


BBA ALL STAR: Ni Title ambayo naweza mpatia Mwisho Mwampamba baada ya BBA 2010 Kuamua kuwarudisha ma-star wote waliong'ara ktk mashndano yaliyopita ..... na hapa ndipo Bro akashow what he did first na kudaka zali tho hakuwa na bahati ya kushinda lkn alwayz anafanya poa sana!!


.........................................TALK OF DA TOWN........2011........................


HII NI BIG BROTHER AFRICA AMPLIFIED.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!LOTUS KYAMBA: kutoka Nivana show ya Eatv mpk BBA 2011...... huyu hapa bhana alitakiwa apelekwe kwenye ulingo wa Boxing akazichape na Matumla hivi au Cheka then akipatikana mshindi ndio apelekwe BBA....... Alitolewa nje baada ya kumtandika M-south LUCLAY hivyo akawa Disqulify na kutupa nje ya mjengo Back 2 home ili akapigane vizuri na waswazi wenzake......Lakini b4 that alishaanza uchafu wake hasa pale kwenye Jaccuzi alipompiga D***a live mjamaa ... tena ambaye mwishowe ................ !! Daaah Wadada zangu very cheap bhana mpk mkasahau Dunia nzima inawatolea macho???!!!


BHOKE EGINA: Kati ya washindani ambao Hawatasahaulika kwa KUCHAFUA BENDERA ya Tanzania of All Time ni huyu!!!!!!!!!!!!!!!!! Sina haja ya kuelezea uchafu ambao ameufanya ndani ya Jumba la BBA kwani kwa sasa ndio front Page wa mitandao yote kwa kitendo cha uchafu na jamaa moja kutoka Uganda (Ernest)................... That was the f**k** situation never seen or heard before Kwa washiriki wote waliowahi kuiwakilisha Tz popote pale........ Damn!!!!!!!!!!!!!!


Mara ya kwanza kumuona na kumfahamu huyu Binti ni pale nilipo kuwa ktk mishemishe zangu pale EATV.... na baadae kumuona kupitia kipindi kizuri cha 5 CONNECT kupitia EATV, ambacho pia kilimpatia heshima kubwa hapa Tz na E & C Africa... kwani ni kipindi ambacho kina Topic nzuri za kuwajenga Vijana.....


Hakuna Mtanzania yoyote mwenye akili Timamu na mwenye Utu aliyeshabikia au kukiunga mkono kitendo hiki cha uzalilishaji wa mama na dada Zetu kilichofanywa na Dada huyu mjengoni!!!!!!!!!!!! Daaaaaaaaaaaah hata ukiangalia mapokezi yake Airport ni Familia yake tu ndi walionekana pale na waandishi wa Habari..... Hata mama yake huyo alikuwa pale najua alikuwa na machungu sana moyoni lkn ni mwanae atafanyaje?????????????


HUYO NDIO BHOKE EGINA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Aliyeiweka Tz ktk ramani ya u-foolish!!!!


SWALI NI KWAMBA Next BBA itakuwaje????????????????????????????? Au ndio tupeleke wawakilishi wanaume tuu kwa hofu ya Dada zetu hawa??? au mashindano yafutwe kwa Tz kabisa???????

No comments:

Post a Comment