Thursday, June 16, 2011

2PAC THE HIP HOP KING OF ALL TIME.... R.I.P


Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa hayati Tupac Amaru Shakur (June 16, 1971 – Sep 13, 1996), aliyefahamika kimuziki kama 2Pac (or simply Pac) a.k.a Makaveli, American rapper aliyeuza zaidi ya copy za Albamu milioni 75 worldwide hadi 2007 na kumfanya kuwa one of the best-selling music artists in the world. katika USA pekee aliuza copy milioni 37.5 .kwa mujibu wa Rolling Stone Magazine ambalo lilimtaja kama the 86th Greatest Artist of All Time............!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Zaidi ya career yake kama Rap artist, Pia PAC alikuwa gud actor............ On September 7, 1996, 2Pac alipingwa risasi mara nne mfululizo pale Las Vegas maeneo ya metropolitan - Nevada na kukimbizwa katika Hospitali ya University Medical Center, ambapo alifariki baada ya siku 6 tokea tukio hilo. 2Pac atakumbukwa kwa mengi sana hasa nyimbo zake zenye Ujumbe mzito... !!! Popote Daima Milele atakumbukwa sana.... R.I.P

No comments:

Post a Comment