Thursday, June 16, 2011

1 YEAR BLOG ANNIVERSARY.... THE BIG TOP TEN.....

Ni moja ya blog za kijanja kutoka Rocky city ikiwakilisha Mwanza kwa kutoa Habari za Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya na Sanaa kwa Ujumla ili kuweza kusadia sanaa ya Tz kufika Next Level..............!!!! Big Up The Big Top Ten kwa kutimiza mwaka!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii ndio keki yetu wadau mnakaribishwa kutupia kidogo cha ndani..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The owner wa Blog hii, anaefahamika kama Mukhsin Mambo a.k.a MC STOPPER ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha The Big Top Ten kupitia Star Tv kila Jumapili saa 5:30 Usiku!!!!!!! Zaidi chungulia www.thebigtopten.blogspot.com ili upate info zaidi....!!No comments:

Post a Comment