Thursday, June 30, 2011

WHEN KING MEETS PRESIDENT "WATAWALIWA" USEMA NINI ????????????????????

Hii ni picha nimeisakua Fb leo ktk pitapita zangu... si ngeni machoni lkn comment zilizotupiwa hapo ndio zilikuwa ngeni kdogo kwangu:-


Fredrick Bundala Self proclaimed king of afternoon's shows na president of afternoons' show! f****k

Rajabu Robert hey hey wachu meen

Fredrick Bundala Si ndo wanajiita hivyo

Rajabu Robert izo mbwe mbwe wizzy kwny shw bt....!

Fredrick Bundala Kujipa cheo si kazi! Wacha wananchi wawape majina hao wenyewe! kuna radio ngapi sasa nchini zenye show za mchana mpaka wajiite hivyo! Ndo maana wanaigana mpaka kucheka. Am not hating, m just speaking my heart out!

Renatus Bizzo Kiluvia Speaking trully Sky...umeniwahi kdg sana..nilitaka niseme hvyovhvyo@SKY ,@ Raj dn't listen to these guys..u'll endup with NOTHING in this field..go to school and learn how to be a GOOD presenter km unataka kazi hii iweke MSOSI wa ukweli mezani na kids waende in good SCHOOLS@Rajabu Robert

Rajabu Robert da!!eazy!eazy! guyz!kuna presenter thy been on top b 4 thz gyz so let dem tok bt ukwel utabaki pale pale mdomo upo free so any1 cn tok wereva h/sh tok , ‎10x xn 4 ya advc@bizzo

Renatus Bizzo Kiluvia Unajua competition ni NZR..lkn pia ni MBAYA..oll thoz guyz nawafahamu since wayback n they r my frnds...SAM had never being lyk he is now when he was 92.9 MAGIC fm doin' "MAGIC SUNDOWNER"...lkn amebidi awe alivyo leo kisa competition(POWER ...JAM v/s XXL)..wapi pameandikwa that style ndo "utauza" sana??Kuna Show ya mchana ina listeners km "SHOWTIME"??Being u utaonesha TOFAUTI na wkt watu wanataka kitu tofauti watakusikiliza wewe@Rajabu Robert

Fredrick Bundala The problem is: Mawazo ya wabongo wengi yapo centralised kama tu jinsi muziki ulivyo kuwa kila kitu ni Dar. Watu hawaonagi telent za watu mpaka wawasikie kwenye radio ya Dar. Wangapi walikuwa wanachukuliwa poa kwenye radio za mikoani lkn ...walipofika clouds ama radio zingine za huko ndo wakaonekana wanaweza! Watangazaji wa radio nyingi za mkoani wanaamini kila wanachokisikia clouds ama east africa radio ndo bora! Huo ni utumwa wa mawazo. Be yourself and come up with your own identity Ndo maana wengi wameingia kwenye mkumbo huu wa kutangaza kama wao. Rajab chukua ushauri wa Bizzo ni mzuri.


Fredrick Maselle status ilinishtua kidogo wazee, nilidhani Rajabu alikuwa anatania, Kipindi hiki presenters wanakuwa kama wana ACT hivi wakiwa kwenye vipindi, ENTERTAINMENT INDUSTRY ya tanzania imejaa waigizaji tu, hii soap inanifurahisha sana, kuanzia MIZIKINI , FILAMUNI PRESENTERS, MODELS, PRODUCERS, DIRECTORS. damn

Hayo ni mazungumzo ya wadau waliokuwa wanatupia comment zao kwenye hiyo pic..... hapo ni B12 a.k.a The king of afternoon show wa Clouds Fm kupitia kipindi cha XXL na Sam a.k.a President Presenter wa East Africa Radio kupitia kipindi cha Power Jam. Wote vipindi vyao uanza saa 8 mpk 10 jioni......

So we mdau un mtazamo wako mwingine?????????
TUPIA COMMENT YAKO HAPAAAAAAAAA!!!!!!!!!!

Tuesday, June 28, 2011

COMING SOON............. DON'T EVER MISS THIS.!!EMBUUUUUU NIPE UTOFAUTI WA WADADA HAWA!!!!!!!!!!

Hii ni snap ya wadada warembo ktk mitoko yao smwhr in Dar city.... so kama nini wakaweka kitu cha ukumbusho kati huku wakitabasamu kwa mbwembwe..... Ili me nataka utofauti tuu ktk hii nap!!!!...............

MKOLONI AFUNGUKA KUPITIA FACEBOOK KUHUSU FIESTA - MBEYA.


Kupitia wall yangu ya FB nimekuta mtu Mzima Fredrick Mariki a.k.a Mkoloni ambaye kwa sasa ndio katibu wa Mh. Sugu (mb) wa mbeya mjini (The Green City)... kuhusiana na Fiesta 2011 majotrooooooooooooooo inayoandaliwa wa clouds Entertainment kupitia Clouds Fm kwa udhamini wa bia ya SERENGETI LAGER................................ kAFUNGUKAA


"""Mbeya hatutaki FIESTA!.....wengi wamechangia na kuongea sana katika wall ya Sugu ila ukweli ni kwamba sio waathirika wa Fiesta,tuulizeni sisi ambao tupo kwenye hili game. Tunaamini tunachosema,tunajua tunachosema...anayehitaji ufafanuzi na mifano mingi tu anakaribishwa!... """""

Hayo ndio maneno machache ya mtu mzima Mkoloni..... zaidi fanya kumtafuta au comment hapa chini then me nitamfikishia Habari yake Binafsiiiiiiiiiiiiiii................

Friday, June 17, 2011

HAPPY BIRTHDAY GIZZO!!

GEORGE KILUVIA(GIZZO)

Leo ni siku maalum na nzito sana kwa mdogo wake na mchizi wangu wa karibu sana na mfanyakazi mwenzangu pia Renatus Kiluvia "BiZZO"....huyu anaitwa George Kiluvia "Gizzo" ambaye yuko London United Kingdom akisongesha kitabu pande hizo...Blog hii haina mengi zaidi ya kumtakia Happy Birthday na maisha marefu yenye kila aina ya mafanikio..Happy BirthDay Gizzo!

Thursday, June 16, 2011

2PAC THE HIP HOP KING OF ALL TIME.... R.I.P


Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa hayati Tupac Amaru Shakur (June 16, 1971 – Sep 13, 1996), aliyefahamika kimuziki kama 2Pac (or simply Pac) a.k.a Makaveli, American rapper aliyeuza zaidi ya copy za Albamu milioni 75 worldwide hadi 2007 na kumfanya kuwa one of the best-selling music artists in the world. katika USA pekee aliuza copy milioni 37.5 .kwa mujibu wa Rolling Stone Magazine ambalo lilimtaja kama the 86th Greatest Artist of All Time............!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Zaidi ya career yake kama Rap artist, Pia PAC alikuwa gud actor............ On September 7, 1996, 2Pac alipingwa risasi mara nne mfululizo pale Las Vegas maeneo ya metropolitan - Nevada na kukimbizwa katika Hospitali ya University Medical Center, ambapo alifariki baada ya siku 6 tokea tukio hilo. 2Pac atakumbukwa kwa mengi sana hasa nyimbo zake zenye Ujumbe mzito... !!! Popote Daima Milele atakumbukwa sana.... R.I.P

1 YEAR BLOG ANNIVERSARY.... THE BIG TOP TEN.....

Ni moja ya blog za kijanja kutoka Rocky city ikiwakilisha Mwanza kwa kutoa Habari za Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya na Sanaa kwa Ujumla ili kuweza kusadia sanaa ya Tz kufika Next Level..............!!!! Big Up The Big Top Ten kwa kutimiza mwaka!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii ndio keki yetu wadau mnakaribishwa kutupia kidogo cha ndani..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The owner wa Blog hii, anaefahamika kama Mukhsin Mambo a.k.a MC STOPPER ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha The Big Top Ten kupitia Star Tv kila Jumapili saa 5:30 Usiku!!!!!!! Zaidi chungulia www.thebigtopten.blogspot.com ili upate info zaidi....!!BBA !!!!! INAKUAJE GALS TOKA TZ WANAVURUNDAAA???Mambo ajee Brozas & Sisterz??? kitambo sana sijatokea hapa kati kutokana na Matatizo ya msiba kwa Kumpoteza Aunt yangu Mpendwa JOYCE na Pia after 1 wk my beloved Bibi Pia akafariki,,.. Roho za marehemu zipumzike kwa Amani mahali pema Peponi Amen!!!!!!!!!!!!!!!!Let's back to the Busness bhana!! Mengi yametokea kipindi nipo out of the Town bt kuna hili nimelikuta na lipo hot sana ila mi najaribu kuja kwa mtazamo mwingine Tofauti..... Big Brother Africa ni moja ya mashindano makubwa sana hapa Africa kupitia Tv (Reality SHOW) yanayoandaliwa na Endemol .... Hakuna mjanja yoyote hasiyejua hili ata baadhi ya watoto wadogo wanalitambua hili....... So Mpk sasa Tanzania imeshawakilisha vya kutosha ktk Shindano la BBA lakini swali langu, Inakuaje Dada zetu wakienda huko wanavurunda???????????????Ina maana Tz hakuna wadada wakuwakilisha BBA poa??? Kwani ni kitu gani Boys wanafanya cha ziada ambacho Galz hawawezi???????TUANZE NA............


MWISHO MWAMPAMBA: Ndio mwakilishi wa kwanza kutoka Tz na hata kufanya poa hadi kuwa mshindi wa pili wa BBA1 ya 2003.... Na ndio ilikuwa BBA ya kwanza !!!!! So Tz tulifanya poa na kujiweka pazuri ktk ramani ya Dunia.RICHARD BEZUIDENHOUT: Daaaah huyu sio wa kusema sana kwani ndio alifunguka poa na kitita cha $ 100,000 USD... kwa madafu yetu ni soooooo baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwenye BBA2 ya 2007...Bravo!!!


LATOYA LYAKURWA: Kutoka A-Town mpk BBA3 mwishowe ikawa Zzzzzzzzz!!!!!!!!!! .. Akiwa ni first contestant kutolewa nje ya jumba hilo baada ya wiki moja ya upuuzi ndani ya mjengo ... nalo likapita kwani ndio alikuwa Demu wa kwanza kuwakilisha TZ ktk BBA3 ya 2008.....


ELIZABETH GUPTA: Ilikuwa ni BBA4 a.k.a THE REVOLUTION mwaka 2009 na mwadada tena akawakilisha ndani ya Jumba hilo ambapo alikuwa mshindani wa 17 kutolewa baada ya kula bata ndani ya Jumba kwa siku 63..... Sifa moja ya huyu Dada (Queen) nikwamba alifanya poa na kuwakilisha vizuri mjengoni na wengi walitarajia atafika mbali ukilinganisha na washiriki wote wa kike .........................


BBA ALL STAR: Ni Title ambayo naweza mpatia Mwisho Mwampamba baada ya BBA 2010 Kuamua kuwarudisha ma-star wote waliong'ara ktk mashndano yaliyopita ..... na hapa ndipo Bro akashow what he did first na kudaka zali tho hakuwa na bahati ya kushinda lkn alwayz anafanya poa sana!!


.........................................TALK OF DA TOWN........2011........................


HII NI BIG BROTHER AFRICA AMPLIFIED.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!LOTUS KYAMBA: kutoka Nivana show ya Eatv mpk BBA 2011...... huyu hapa bhana alitakiwa apelekwe kwenye ulingo wa Boxing akazichape na Matumla hivi au Cheka then akipatikana mshindi ndio apelekwe BBA....... Alitolewa nje baada ya kumtandika M-south LUCLAY hivyo akawa Disqulify na kutupa nje ya mjengo Back 2 home ili akapigane vizuri na waswazi wenzake......Lakini b4 that alishaanza uchafu wake hasa pale kwenye Jaccuzi alipompiga D***a live mjamaa ... tena ambaye mwishowe ................ !! Daaah Wadada zangu very cheap bhana mpk mkasahau Dunia nzima inawatolea macho???!!!


BHOKE EGINA: Kati ya washindani ambao Hawatasahaulika kwa KUCHAFUA BENDERA ya Tanzania of All Time ni huyu!!!!!!!!!!!!!!!!! Sina haja ya kuelezea uchafu ambao ameufanya ndani ya Jumba la BBA kwani kwa sasa ndio front Page wa mitandao yote kwa kitendo cha uchafu na jamaa moja kutoka Uganda (Ernest)................... That was the f**k** situation never seen or heard before Kwa washiriki wote waliowahi kuiwakilisha Tz popote pale........ Damn!!!!!!!!!!!!!!


Mara ya kwanza kumuona na kumfahamu huyu Binti ni pale nilipo kuwa ktk mishemishe zangu pale EATV.... na baadae kumuona kupitia kipindi kizuri cha 5 CONNECT kupitia EATV, ambacho pia kilimpatia heshima kubwa hapa Tz na E & C Africa... kwani ni kipindi ambacho kina Topic nzuri za kuwajenga Vijana.....


Hakuna Mtanzania yoyote mwenye akili Timamu na mwenye Utu aliyeshabikia au kukiunga mkono kitendo hiki cha uzalilishaji wa mama na dada Zetu kilichofanywa na Dada huyu mjengoni!!!!!!!!!!!! Daaaaaaaaaaaah hata ukiangalia mapokezi yake Airport ni Familia yake tu ndi walionekana pale na waandishi wa Habari..... Hata mama yake huyo alikuwa pale najua alikuwa na machungu sana moyoni lkn ni mwanae atafanyaje?????????????


HUYO NDIO BHOKE EGINA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Aliyeiweka Tz ktk ramani ya u-foolish!!!!


SWALI NI KWAMBA Next BBA itakuwaje????????????????????????????? Au ndio tupeleke wawakilishi wanaume tuu kwa hofu ya Dada zetu hawa??? au mashindano yafutwe kwa Tz kabisa???????