Wednesday, April 6, 2011

USIKU WA WASAFI SEASON 2 ULIVYOFUNIKA NDANI YA BILLZ.


Hapo kati ni Prezzo wa Wasafi Diamond akiwa stajini na Dances wake Club billz siku ya Jumapili ya trh 3 last week.
Ilikuwa nyomi moja mbaya sana hapo kati...... Raia walikuwa wanapagawa kumwona Presidaa akiswaisha pale kati.
Hapa Presidaa Diamond na Waziri Mkuu wake Shetta wakipanga mikakati kabla ya kupanda stage kwa show moja hatari saaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamaa kama ukubahatika kuwepo kwenye hii show daaaaaaaaah iliweka Historia maana Nyomi ya watu mpk AC zilishindwa kufanya kazi ikabidi uongozi wa Billz kuamulu watu kupigwa stop kuendelea kuingia ndani na milango na madirisha kufunguliwa ili kupata hewa zaidi otherwise pangekuwa hapatoshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...................

No comments:

Post a Comment