Monday, April 4, 2011

R.I.P MY BROTHER ADAM LUSEKELO.


Adam Lusekelo ni moja kati ya waandishi wa siku nyingi hapa Tanzania , nilipata kusoma kazi zake kupitia column yake maarufu iliyokuwa ikitoka ktk magazeti ya Daily News na Sunday News "With a Light Touch". Nilipata mshutuko sana wkend hii nilipopata taarifa juu ya kifo chake. Tulimpenda sana kaka yetu, Mwandishi mwenzetu lakini Mungu kampenda zaidi. kilichobaki ni kuyaenzi yale mazuri aliyotuachia na kumwombea kwa Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi Amina!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment