Sunday, April 24, 2011

PASAKA NJEMA WADAU......!!!!!!!!!


Leo Jumapili ya Pasaka, Wakristu wote Ulimwenguni kwa pamoja tunasherekea siku ya kufufuka Bwana wetu YESU KRISTU. Wakristu wote tunaamini Yesu alifufuka katika wafu siku ya tatu baada ya kifo chake pale msalabani...

Kupitia kifo chake, kuzikwa na Kufufuka kwake, Yesu Kristu alilipa Dhambi Zetu wanadamu ili tupate wokovu wa milele........... NAWATAKIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA PASAKA. KRISTU AFUFUKE NDANI YA MIOYO YETU AMINA.!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment