Monday, April 11, 2011

MIAKA 5 YA "EBONY FM" SPECIAL OFFER KWA WAKAZI WA NYANDA ZA JUU KUSINI.

Hii ni special kwa wasikilizaji wote wa Ebony Fm Nyanda za juu kusini na kote ambapo Ebony inasikika. Kutoka kwa Promotion manager wa Ebony Fm Bonnie Sly kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK kafunguka kama ilivyo hapo chini....:-

"KATIKA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA EBONY FM, TUNATOA BONGE LA OFA YA SHOPPING HOLLIDAY AND TWO NIGHTS KATIKA FIVE STAR HOTEL, RETURN TICKET YA NDEGE NA GHARAMA NYINGINE ZOTE WAKATI WA HOLIDAY HIYO, JINSI YA KUJISHINDIA OFA HII, SIKILIZA KILA KIPINDI CHA EBONY FM KUNA WIMBO MAALUM WA ASANTE UNAPIGWA THEN UNAFUATIWA NA WIMBO MAALUM WA SAA HIYO, NA MUDA WOWOTE BAADA YA HAPO MTANGAZAJI ATAPOKEA SIMU YAKO NA UKITAJA MUDA SAHIHI, JINA LA KIPINDI NA JINA LA MTANGAZAJI KWA MUDA HUO UTAKUA NDO MSHINDI WA SAA HIYO, NA WASHINDI WA SIKU ZOTE WATAINGIA KATIKA DROO YA MWISHO ITAKAYO KUWA TAREHE 1 JUNE 2011 NA MSHINDI WA EBONY FM SHOPPING HOLLIDAY ATAPATIKANA..... EBONY FM FEEL THE DIFFERENCE...... 87.8 IRINGA 94.7 MBEYA 88.2 MAKAMBAKO.. 91.6 DODOMA & 95.4 MOROGORO " So mkazi wa nyanda za juu kusini unasubiri nini??? Funguka zali si ndio hili???????????

No comments:

Post a Comment